Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,898
- 55,827
Mwambie mama yake mwanae anakusumbua
Usishangae mkuu ndio aina ya walimu tulionao though kuna ambao wapo kwa ajili ya kuleta mabadiliko chanya kwenye elimu yetu ila kuna ambao kama huyu wameingia kwa bahati mbaya simply because hakuwa na alternative nyingine na mwisho wa siku akaingia kusoma ualimu pasipo nafsi yake kumtumaElimu yetu iko matatani. Wewe ni Mwalimu kweli!?! Hali ya elimu yetu ni tete.
just wait for me somewhere tutaonana