Wana-jamvi mimi ni binadamu kama mlivyo nyie, mimi pia nina hisia kama mlizonazo nyie, samahani sana kwa uhamuzi niliouchukua lakini sikua na jinsi naomba mola wangu anisamehe duniani na ata akhera
naanza:-
mimi ni mwalimu nimeajiliwa, huu ni mwezi wa nne tangu niingie kwenye ajira, hapa nilipopangiwa nilibahatika kupata chumba cha nje kwenye nyumba anayoishi mwalimu mwenzangu sasa hapa nyumbani kuna chumba kingine cha watoto wake wa kike kipo pembeni yangu, nilipofika tu ile siku ya pili binti moja wa huyu mwalimu alinizoea kwa kasi sana mpaka akawa anakaa chumbani kwangu mpaka saa tano usiku eti tunapiga story, kama mnavyojua jamani "husimsogezee mzoga fisi mwenye njaa" kweli nilijizuia xana lakini nilijikuta tu nishazama na nikawa nimetoboa kizibo, sasa basi ndo mida yake lakini mimi kwa sasa sina haja naye tena natamani ata niame hapa maana ata naona aibu na binti mwenyewe nimeanza kumchukia, nishaurini jamani nifanyeje japokuwa wakati tunaanza sikuwaomba ushauri.