Muda wetu umefika!

Mrudishie bikira yake,we umechoma nyumba moto halafu unauliza itakuaje?
 
Mwalimu unafundisha somo gani?....maana uandishi wako unapinga kama u mwalimu
 

hii ni aina ya walimu tukionayo.
ee mungu linusuru taifa....
 
pesa hazitibu ukimwi jamani eee
 

Hivi wewe ni mwalimu kweli?au mwalimu wa kupaka rangi magari? Umeandika vitu vya ajabu sana na umenisababishia usumbufu mkubwa sana na usio wa lazima leo. nashindwa kupata usingizi kwa ajili ya huu uzi wako
 

wachagga wengine hasara eti anajiita: naan ngik-kundie
 
Last edited by a moderator:

Sio kweli wewe sio mwalimu hiyo lugha ni ya kitoto na iliyojaa makosa kibao usiidhalilishe taaluma tafadhali USITUDHALILISHE WALIMU
 

Kazi ya ualimu haikufai, hata kuandika hujui. Nyie ndio mnawajaza ujinga wanafunzi badala ya kuwasomesha.

Mwalimu unakuja na hadithi ya kijinga na isiyo na maadili namna hii? hao wanafunzi Mwenyeezi Mungu awalinde na awasaidie waondokane na Mwalimu kama wewe haraka sana.

Nyie ndiyo mnaidharaulisha fani ya heshima ya Ualimu. Punguani wahed.
 

Duu hili Tusi la Punguani wahed naona wanatukanwa wengi halafu na lile lingine la kuhorojoka
My piece advice to you Ff Hii ni social media huhitaji kutoa povu kila wakati as if you know everything
 
[QUOT[/QUOTE]Hivi wewe ni mwalimu kweli?au mwalimu wa kupaka rangi magari? Umeandika vitu vya ajabu sana na umenisababishia usumbufu mkubwa sana na usio wa lazima leo. nashindwa kupata usingizi kwa ajili ya huu uzi wako

kwan shida iko wapi jamani?
[]
 
Hivi wewe ni mwalimu kweli?au mwalimu wa kupaka rangi magari? Umeandika vitu vya ajabu sana na umenisababishia usumbufu mkubwa sana na usio wa lazima leo. nashindwa kupata usingizi kwa ajili ya huu uzi wako

kwan shida iko wapi jamani?
[][/QUOTE]

shida ya kwanza: uandishi wako mbovu.

shida ya pili: wewe ni mharibifu wa watoto wa watu

shida ya tatu: tuna hofu juu ya usalama wa hao wanafunzi unaowafundisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…