Namshukuru aliyeuliza kwani nami swali hili nilikuwa najiuliza sana. :nerd:
Usually six weeks.... but
I heard C section is a bit longer up to 10 weeks..
Recommend= JF doctor ..
Siku hiyo anayojifungua mwache apumzike lisaa limoja...omba mzigoNdg wana JF naombeni mnisaidie kujua hili, inamchukua muda gani mwanamke anaye nyonyesha kuanza kushriki tendo la ndoa na mwenza wake?
Naombeni majibu yenu mnaojua plz
Siku hiyo anayojifungua mwache apumzike lisaa limoja...omba mzigo
Namshukuru aliyeuliza kwani nami swali hili nilikuwa najiuliza sana. :nerd:
Kwa kawaida kama amejifungua salama ni siku 40,kama ni kwa upasuaji inategemea na maelekezo ya daktari,ila kwa ushauri zaidi nenda kwa daktari atakueleleza kitaalam zaidi
Kikawaida ni siku 40, mama anakuwa salama ku do. Kikubwa zingatia afya yake na lishe. Pia style ziwe zile soft sio unagonga tu na masarakasi. Kwa ushauri zaidi nenda RCH clinics ya karibu watakujuza kila kitu. All the best.