Muda wa safari kati ya Dar mpaka Dodoma

Muda wa safari kati ya Dar mpaka Dodoma

Ila nasikia Dodoma Kuna gharama sana, nahofia per diem yangu isije ikaisha kabla sijarudi😁😁
Kulala unalala sehemu Safi kwa 20-30k, Usilete ubahili hapa. Asubuhi breakfast. Ila ukitaka kulala kwa 600k pia ipo. Lunch kula chips basi haizidi 5k na maji, jioni panda Shabiby urudi Dar.
 
Kumbe za 20-30k zipo, basi hizo ndizo zitanifaa kabisa
 
Back
Top Bottom