kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 1,174
- 2,219
Wadau, naomba kuuliza je endapo nikitoka Dar saa tatu kamili usiku naweza kufika Dodoma sangap Kwa njia ya basi la abiria?
Sawa Nashukuru, lakini inawezekana kufika chini ya muda huo? Au huo ndiyo muda maalum?12:00 asubuhi
35kKwani nauli shingapi mkuu?
Unaweza kufika mapema Zaid ya hapo tho Inategemea na speed ya derevaSawa Nashukuru, lakini inawezekana kufika chini ya muda huo? Au huo ndiyo muda maalum?
Masaa 8, hivyo utafika saa 11Wadau, naomba kuuliza je endapo nikitoka Dar saa tatu kamili usiku naweza kufika Dodoma sangap Kwa njia ya basi la abiria?
Sawa, ila naomba kuuliza pia kwamba Kuna umbali Gani kutoka stendi mpaka Ofisi za National Archive?Unaweza kufika mapema Zaid ya hapo tho Inategemea na speed ya dereva
Sawa MkuuMasaa 8, hivyo utafika saa 11
Unamaanisha National Records? Dodoma dakika 8 kwa Bolt unafika popote. Nenda umesha install Bolt kabisa. Ipo pale barabara ya swaswa.Sawa, ila naomba kuuliza pia kwamba Kuna umbali Gani kutoka stendi mpaka Ofisi za National Archive?
Magari mengi hushusha abiria stand na kuendelea kuingi mjini hivyo umuulize konda, kumbuka stand iko nje ya mjiSawa, ila naomba kuuliza pia kwamba Kuna umbali Gani kutoka stendi mpaka Ofisi za National Archive?
Nashukuru mkuu umenipa mwangaUnamaanisha National Records? Dodoma dakika 8 kwa Bolt unafika popote. Nenda umesha install Bolt kabisa. Ipo pale barabara ya swaswa.
Nenda chap tu unafika masta. Usijiulize Dodoma ndogo sana ile. Kikubwa bolt ya boda ndio iwe rafiki Yako.Nashukuru mkuu umenipa mwanga
Sawa Mkuu Mimi naondoka usiku huu, niliwaza tu kama naweza kufika mapema ili niende hapo Archive asubuhi nikamilishe mambo yangu mapemaNenda chap tu unafika masta. Usijiulize Dodoma ndogo sana ile. Kikubwa bolt ya boda ndio iwe rafiki Yako.
Hakika. Ila kupata train sahivi ngumu sanaKwa train (SGR) unafika Dodoma mapema ukilinganisha na bus (gari)
Ni kweli, lakini nimeona nipande bus ili nifike asubuhiKwa train (SGR) unafika Dodoma mapema ukilinganisha na bus (gari)
Kila la kheriNi kweli, lakini nimeona nipande bus ili nifike asubuhi