Katika pita pita zangu Kasinde ila usimwambie huyu Nyani NgabuWeeeeeh................. umepata wapi hii picha ya Monkey Ngabuu???!!!!1😱😱😱
Nyani Ngabu ona wamekuweka hapa siku ya thanksgiving ukipata dinner nyumbani kwako........................
Shida ni aliyekupiga picha not me.............😎😎😎
Silly Kasie [emoji14][emoji14][emoji14]
Weeeeeh................. umepata wapi hii picha ya Monkey Ngabuu???!!!!1😱😱😱
Nyani Ngabu ona wamekuweka hapa siku ya thanksgiving ukipata dinner nyumbani kwako........................
Shida ni aliyekupiga picha not me.............😎😎😎
Silly Kasie 😛😛😛
Katika pita pita zangu Kasinde ila usimwambie huyu Nyani Ngabu
Sasa mbona ameshapita huku tayari duuuh. Ngoja [emoji125] [emoji125] [emoji125]Usigofu sitamwambia kwanza saa hii amelala fofofo na haa akija kuona hawezi sema kitu wala andika kitu atapita kama hajaiona vile, atajikausha tuu ndo kaiwada yake mradi tuu usimchokoze tena kwa kurusha picha yake ingine humu.
La ugomvi utakaouanisha nisipo uamulia mimi basi pona yako ni asilimia 0.0001............. muulize Babu Asprin hadi leo kimyaaaaaa [emoji14][emoji14][emoji14]
Babu nakusalimu nimekumiss siku mingi hatujatiana machoni 😀😀😀
HhahahaaaHa....you got jokes, huh?
You are a bad mamma jamma!
Babu nakusalimu nimekumiss siku mingi hatujatiana 😀😀😀
Sasa mbona ameshapita huku tayari duuuh. Ngoja [emoji125] [emoji125] [emoji125]
jamaa angevua na tisheti ilikuwa hatari tupuWanasema kauzu
Hhahahaaa
Kasie is not only a bad mama.... but a baddier lion of the jungle............
Who is a bad wolf.............. scared???? ........... c'mon don't let me down baddies are not scared....😛😛😛
No, you are a lioness. The queen of the bushes. Not the jungle.
The jungle is my domain.
Hhahahahahaa wee nawe, ukianzaga kupekua unaona hadi nukta heheheheee
Kwani hujui kuwa babu nae ni joka la kibisa halina madhara???? 😛😛😛
Nilivy bingwa wa race, utanikamatia wapi kuni nakoz na frankiki 😛😛😛 nilivyo muoga wa kupigwa ntatoka ndukiiiii utabaki unasoma dodoma singida mkoa wa tabora.. dodoma singida mkoa wa tabora.... dodoa singida mkoa wa tabora...(kama utaelewa maana ya kutamka hiyo mikoa kwenye sauti kama ya kiwimbo) utakuwa umenipata 😀😀😀
[/QUOTE]Hmm....Komredi Asprin, unahitaji hapa. Siamini komredi anaweza akawa chatu wa Kibisa.
Halafu unajua ukilivuruga utalinywa mwenyewe..............???? na mwisho wa siku mtapigana nyie wenyewe babu wawili mie naingia jikoni kupika, mkimaliza kuigana nawawekea mji muoge kisha mnakula mnalala. Wewe ndo sweet pie ntakunywa uji wako naona macho yamekutokaaaa 😀😀😀
Kheeee kwani we ni Joyce wowowo?
Hilo si swali bali jibu 🙂🙂🙂😛