Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Usigofu sitamwambia kwanza saa hii amelala fofofo na haa akija kuona hawezi sema kitu wala andika kitu atapita kama hajaiona vile, atajikausha tuu ndo kaiwada yake mradi tuu usimchokoze tena kwa kurusha picha yake ingine humu.
La ugomvi utakaouanisha nisipo uamulia mimi basi pona yako ni asilimia 0.0001............. muulize Babu Asprin hadi leo kimyaaaaaa 😛😛😛
Babu nakusalimu nimekumiss siku mingi hatujatiana machoni 😀😀😀
Hebu geuka nyuma..... niko nyuma yako kwa hapa hivi.....
Ila usihofu sina madhara.