Muda wa kuamka ni sasa

Muda wa kuamka ni sasa

Mkuu unaeleza story nyingi sana lakini unazunguka mbuyu tu. Umemsifia Nyerere kwa kuondoa ukabila kwa sera zake za ujamaa. Kama kiongozi ilikuwa na sera hizo watu wote wakazifuta na kuziishi. Sasa kama matatizo yetu ya sasa unatoa lawama kwa watu wote na unawaona viongozi kuanzia mwinyi, mkapa, kikwete, magufuli na samia kuwa hawastahili lawana ya kinachoendelea basi huna haja ya kumsifia nyerere pia.
Hii mada nimeandika jana, haya leo msikie mzee wetu Warioba kasemaje? Bofya link iliyopo chini kabisa..

View: https://www.facebook.com/share/v/1DonJMYyr9/
 
Sasa kama wewe ni Mhaya sijui kwenu kuna Msonge, umefuata nini Dar es Salaam?😂😂😂
Kwa kihaya tunasema hivi, Omukama mbali omshanga niyolamiza.Maana yake mfalme himaya yake ni kubwa sana.Kwani sijakwambia babu alikuwa mfalme?.Nina baraka za kukaa sehemu yoyote ile hapa duniani maana toka mdogo niliambiwa hivi:Seth niwe alitwala eiyanga lyona(hii tafuta muhaya akwambie maana yake)
 
Naweza kusema mleta Uzi ni mtu mjinga kama Mtanganyika hawezi kwenda Zanzimbar kua Kiongozi sasa kuna shida gani mtu kuongelea uzanzimbar na utanganyika?
 
Kwa kihaya tunasema hivi, Omukama mbali omshanga niyolamiza.Maana yake mfalme himaya yake ni kubwa sana.Kwani sijakwambia babu alikuwa mfalme?.Nina baraka za kukaa sehemu yoyote ile hapa duniani maana toka mdogo niliambiwa hivi:Seth niwe alitwala eiyanga lyona(hii tafuta muhaya akwambie maana yake)
Sasa inakuwaje tena, wewe ndio unataka nchi yako Bahaya Kingdom toka Tanganyika lakini unadai una baraka za kuishi mahala popote duniani sawa na Wazanzibar wanasema wao wana baraka ya kuishi hata Bara lakini sio Mbara kuishi kwao!
Au ndio nyie kina Chosen People? Hii ni taurat ya ngapi maana hata Wahayudi husema hivyo hivyo😂😂😂
 
Haya maswala ya Wazanzibar kumtukana Mwalimu ni utovu tu adabu tu ambao kama umegundua Sisi tuna hulka ya kuwasema watu vibaya wakisha fariki tena kwa habari za kusimuliwa.Na katika Uislaaam, ni kosa kubwa (Dhambi) kumsema vibaya marehemu ambae weee binaadam sii hakimunwala huijua hatmanyako siku ya Kiyam Kwa hiyo hayo matusi ya Wazanzibar najua yametokana na Siasa za Upotoshaji ambazo zimekuja toka tuanzishe mfumo wa vyama vingi.
Mkuu haya matusi ya Wazanzibar kwa Nyerere yalikuwa deliberate na kwasababu ya imani yake. Kama muungano uliundwa na Nyerere na Karume kwanini hatukuwasikia wakisema Karume Laanatullah!
Ikiwa kiongozi anabeba lawama za maamunzi kama nyerere, mbona hatusikii laanataullah kwa aliyesababisha Oct 29. Main point hapa ni kwamba, chuki ya Wazanzibar ni katika misingi ya dini! wamepandikiza mbegu hii sana
In fact Wananchi walikataa vyama vingi kwa asilimia 80 lakini ni mwl. Alolazimsha tuanzishe Mfumo wa Vyama vingi kinyume kabisa cha matakwa ya Wananchi wengi. So was he wrong? Nambieni nyie mlotokana na asilimia 80!
Nyerere alitoa sababu akisema hili ni wimbi linalovuma duniani akamtolea mfano rafiki yake Nicolae Cieasescu. Nyerere alisema Nicolae alisubiri wanaompinga wakawa wengi.

Nyerere alimaanisha ni muhimu viongozi wawe 'ahead of time' katika kufikiri. Tatizo la Oct 29 ni viongozi kutokuwa 'ahead of time' licha ya red flags zote zilizokuwemo. Hapa JF tulionya na kuna bandiko tulilosema '' nchi imevimba, viongozi wawe na busara, kinachosubiriwa ni njiti ya kiberiti''. Viongozi hawakusikiliza, hawakuwa mbele ya muda, yakatokea

Vyama vingi vilikuwa ni wakati wake. Watanzania 80% waliokataa ilikuwa ni ''fear of unknown'' kwamba vyama vingi vitaleta fujo, infact ni CCMwaliowatisha Wananchi.

Mwalimu alijua fika kwamba wananchi wanataka ili wanahofu ndio maana aliingilia. Ukisoma alama za nyakati zile, madhara makubwa yangetokea ikiwa suala hilo lingekataliwa.
Mungu alijaalia tukawa na Nyerere mwenye akili, Elimu, asiye na kiburi, anayesoma na anayaelewa.
Mwisho niseme hivi, nionavyo mimi katika UTU wetu. Wewe nitukane unavyotaka, mimi sitorudisha matusi kwa sababu ni sawa na kumfukuza Kichaa au mgonjwa wa akili. Wazungu walitubagua kwa miaka 500, haina maana nasi tulipize kisasi tuwabague, isipokuwa tutawaambia Ukweli ambao wao wenyewe wataamua kubaki nasi ama.warudi makwao!
Nakuelewa sana mkuu, lakini kumbuka imeachukua Watanganyika zaidi ya miaka 50 kuvumilia.
Imefika mahali Wazanzibar kwa kuvumiliwa wanajiona ni Raia wa daraja la juu na kwamba wanathamani sana katika Muungano.

Watanganyika hasa vijana wamehoji nini kinapatikana kwa muungano na Zanzibar watu 1.8 kati yao milioni 1 wanaishi Tanganyika. Wanahoji nje ya Muungano Tanganyika inapoteza nini. Jibu lake ni hakuna na ndipo wanasema sasa wanataka Tanganyika yao ili waache Wazanzibar wajitenge.

Ukisikiliza waumini wa Muungano kama Warioba, Butiku n.k. utaona kuna kuchoshwa na kelele za Wazanzibar.
Binafsi, simkubali rais Samia kama.Kiongozi, hili naliweka wazi kabisa ila sii kwa sababu yeye ni Mzanzibar au Muislaam bali sioni kama anazo Sifa na Uwezo wa Kuongoza Taifa.
Utamtenga vipi na Uzanzibar wakati alikwenda na kusema 'uchaguzi huu hakuna Mzanzibar aliyenyakuliwa''
Kuhusu udini tunarudi pale pale, Nyerere hakuua Wazanzibar lakini ni laanatullah, kwanini leo isiwe laanatullah kwa mauaji ya Oct 29? what goes around comes around! dude.

Nakubaliana nawe though! kwamba mambo ya dini na ukanda hayana maana. Nisichokubaliana ni kuhusu Zanzibar. Tumefika point of no return, hakuna namna ya ku rescue muungano! Tanganyika has nothing to lose. Wazanzibar watajuta!
 
Sasa inakuwaje tena, wewe ndio unataka nchi yako Bahaya Kingdom toka Tanganyika lakini unadai una baraka za kuishi mahala popote duniani sawa na Wazanzibar wanasema wao wana baraka ya kuishi hata Bara lakini sio Mbara kuishi kwao!
Au ndio nyie kina Chosen People? Hii ni taurat ya ngapi maana hata Wahayudi husema hivyo hivyo😂😂😂
Swadakta.Buhaya kingdom lazima kwasababu tulifanyiwa dhuluma na mzee wa Butihama.We are meant to rule and not be ruled.We are chosen people no doubt.Hii imeandikwa kwenye OT kipindi Mwenyezi Mungu anatoa ahadi kwa David(the king) kwamba kiti chake hakitakosa mfalme milele(sasa inakuwa vipi mnatupokonya ahadi ya Mungu kizembe hivi?)

We are kings,we can't serve people,we are to be served.Hapa nadhani utakuwa umenielewa vizuri ndugu.
 
Ama kweli Wahaya ni shida! kusema We are Kings, we can't serve people, we are to be served. Inakuondoa katika mjadala huu..
Shukran, umenisaidia kwa maneno ya ushahidi kuwa tuna watu baina yetu wanaofikiri na kuamini tofauti nasi..
 
Huu ndio ukweli na umefunga ujumbe uliokusudiwa.Sisi ni wafalme na mjadala umetamatika.

Kila la kheri,safari ya kurejesha heshima yetu na kufanyika taifa mbele za mataifa punde si punde itaanza.Wale wote walioshangilia nyakati zote kipindi tunapitia magumu,kuanza na yule aliyesema hakuleta tetemeko Bukoba na wengine wote wenye mioyo ya hivyo ni wakati sasa Mwenyezi Mungu atawashangaza.

Atatimiza ahadi zake kwa mtumishi wake na kutufanya watu na taifa mbele ya macho yenu.

Asante kwa kushiriki.It is time now we rise and make our ancestors proud
 
Back
Top Bottom