Muda Uwaziri mkuu wa Mh. Pinda wahesabika

Kutokana na riport ya kamati maalumu kuchunguza mwenendo wa oparation maalumu ya kutokomeza ujangili kufichua uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu ni dhahiri sasa muda wa Mh. Pinda mtoto wa mkulima kuwa waziri mkuu unafika ukingoni, hii imejidhihirisha kutokana na michango ya wabunge mbalimbali na iwapo mh hatajiuzulu atakua amepoteza imani kubwa ya utendani wake kwa wananchi.

Nimesikiliza mchango wa Mh Shekifu ambaye alikuwa mjumbe wa Kamati inayojadiriwa na ninaona kasema yaliyo ya msingi. Operation ilianzishwa bila msingi mwema wa kiuongozi na hivyo kufanya mawaziri wa wizara zilizohusika kufanya kazi bila kuwasiliana. Hakukuwa na mfumo wa kiuongozi na wala hakukuwa na command inayoeleweka. Sasa hapa ni nani mhusika mkuu, waziri mkuu, mawaziri au watendaji?
 
ishu ni JIN..GA LINGENE TOKA HUKOHUKO MAGAMBA LITAKALIA KITI...
HOPELESS COUNTRY... BUSINESS AS USUAL..
Uko sahihi mkuu, wamwache aendelee kwani sioni mabadiliko yoyote makubwa hao watakoshika hizo nafac watatoka wapi . Kama watatoka miongoni mwao basi hakuna jipya ni usanii at work. Wawaache wamalizie vipindi vyao tusubiri 2015
 
Back
Top Bottom