PauloKichaa
Senior Member
- Jun 6, 2011
- 122
- 39
Unazania waziri mkuu kumuondoa ni kama vil;e kumuondoa Zitto ?
Kutokana na riport ya kamati maalumu kuchunguza mwenendo wa oparation maalumu ya kutokomeza ujangili kufichua uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu ni dhahiri sasa muda wa Mh. Pinda mtoto wa mkulima kuwa waziri mkuu unafika ukingoni, hii imejidhihirisha kutokana na michango ya wabunge mbalimbali na iwapo mh hatajiuzulu atakua amepoteza imani kubwa ya utendani wake kwa wananchi.
Andy1Kutokana na riport ya kamati maalumu kuchunguza mwenendo wa oparation maalumu ya kutokomeza ujangili kufichua uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu ni dhahiri sasa muda wa Mh. Pinda mtoto wa mkulima kuwa waziri mkuu unafika ukingoni, hii imejidhihirisha kutokana na michango ya wabunge mbalimbali na iwapo mh hatajiuzulu atakua amepoteza imani kubwa ya utendani wake kwa wananchi.
Unazania waziri mkuu kumuondoa ni kama vil;e kumuondoa Zitto ?
hivi mwa lukosi utakua lini na kufanya japo propaganda pevu kidogo.....manake huna haya......Unazania waziri mkuu kumuondoa ni kama vil;e kumuondoa Zitto ?
Unazania waziri mkuu kumuondoa ni kama vil;e kumuondoa Zitto ?
Unazania waziri mkuu kumuondoa ni kama vil;e kumuondoa Zitto ?
hata rais anaweza kuondolewa na bunge likikosa imani naye sembuse waziri mkuu!!!!rudisha rambirambi we askari uliyevua sare za jeshi ukavaa za ccm.
Kwa ujumla ripoti ya selelii inatoa taswira ya uwingi wa wakiukaji wakubwa wa haki za binadamu tulionao.....kwa mwavuli wa serikali.......
msigwa kaua kabisa
Ilibakia kidogo tu angemtaja Kinana!