Muda Uwaziri mkuu wa Mh. Pinda wahesabika

PauloKichaa

Senior Member
Jun 6, 2011
122
39
Kutokana na riport ya kamati maalumu kuchunguza mwenendo wa oparation maalumu ya kutokomeza ujangili kufichua uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu ni dhahiri sasa muda wa Mh. Pinda mtoto wa mkulima kuwa waziri mkuu unafika ukingoni, hii imejidhihirisha kutokana na michango ya wabunge mbalimbali na iwapo mh hatajiuzulu atakua amepoteza imani kubwa ya utendani wake kwa wananchi.
 
pinda alivyopinda hatapona hapo maovu yamefanyika mengine sana
 
Kutokana na riport ya kamati maalumu kuchunguza mwenendo wa oparation maalumu ya kutokomeza ujangili kufichua uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu ni dhahiri sasa muda wa Mh. Pinda mtoto wa mkulima kuwa waziri mkuu unafika ukingoni, hii imejidhihirisha kutokana na michango ya wabunge mbalimbali na iwapo mh hatajiuzulu atakua amepoteza imani kubwa ya utendani wake kwa wananchi.

Apoteze mara ngapi?

Andy1
===>Wamekufa wapiga kura wa magamba,leo utashangaa watakula mpaka nyama za watoto wao kama NGURUWE,
===>Kampeni za kurudi 2015,ila hatusikii wala hatuambiwi,iliyouwa ni serikali yao,inaongozwa na chama chao,waache wauane na ikiwezekana wamalizane kabisa nzi wa chooni hawa.
===>Mbona mabomu ya arusha hawakusema kitu?tena walikuwa kimyaaaaa kama wamemwagiwa maji baridi,wasanii tu hawa nafikiri ni njia ya kumtafutia yule mama yao ulaji.
===>Yote tisa waache wafu wawazike wafu wenzao.
 
Last edited by a moderator:
Kwa ujumla ripoti ya selelii inatoa taswira ya uwingi wa wakiukaji wakubwa wa haki za binadamu tulionao.....kwa mwavuli wa serikali.......
 
ishu ni JIN..GA LINGENE TOKA HUKOHUKO MAGAMBA LITAKALIA KITI...
HOPELESS COUNTRY... BUSINESS AS USUAL..
 
hata rais anaweza kuondolewa na bunge likikosa imani naye sembuse waziri mkuu!!!!rudisha rambirambi we askari uliyevua sare za jeshi ukavaa za ccm.

kuna watu wanadhani wanafikiria.....asilimia kumi na tano...tano tu ndo wanafikiria..themanini hawafikirii kabisa.....lukosi yupo namba tatu.....
 
Lazima atatoboa salama wala sina wasiwasi na hao wabunge wanaopoteza muda wa kujadili masuala ya maana
 
Back
Top Bottom