CCM kwa kuhadaa tu nawanyooshea mikono. Walimdanganyaga aliyekuwa jaji mkuu Agustino Ramadhani hadi waliokuwa naye karibu walimsikia akikilaani chama kichiz.
Walimuambia achukue fomu na uhakika wa kuchaguliwa kugombea urais 2015 asilimia 100%.
Yeye alijua kabisa atashinda walishamdanganya wew ni mzanzibari kwanza halafu mkristo hii zamu ni ya wazanzibar na wakristo. Yani alihakikishiwa na akawa na confidence ya hatarii.
Akina Edo kumwembe hadi kwenye page zao wanaandika rais ajaye wa Tanzania. Nakupiga picha naye
Wanoko wanadai karibu adondoke na presha jina lake lilivyokuwa la mwanzo kukatwa.