Muda si mrefu Mch Gwajima atafikishwa mbele ya KAYAFA

Tuliwahi kusema humu katika mistake ambayo Gwajima aliifanya katika maisha yake ni kujiunga na CCM kisha kuhongwa ubunge!

Uchaguzi wa 2020 ulimuondolea credibility yote ambayo aliijenga katika jamii kwa muda mrefu mno…

Ile saa ya kufikishwa mbele ya kuhani mkuu imefika na this time atamalizwa hatainuka tena!

Nimemsikia askari mmoja wa sinagogi akikumbushia video ya Ngono ya askofu aliyosingizia sijui mkono wa baunsa!! Nimestushwa mno na kauli ile tena ya askari wa sinagogi dhidi ya mjumbe wa baraza Yao…

Kama nawaona mafarisayo na wakuu wa baraza walivyojipanga kumshitaki na kumshuhudia yote mbele ya kuhani mkuu KAYAFA!!

Swali baada ya hukumu ya KAYAFA Gwajima atasimama na nani akamwamini?

Naisubiria kwa hamu saa ile atakapoletwa mbele ya baraza!!
Hakuna kitu hapo labda angekuwa mpinzani....
 
Huwa najiuliza Gwaj Boy anapata wapi nguvu ya kubishana na serikali. Uhuru?? If you think you have freedom.. watch out.. be carefur...not to that extent!!
Kwa jinsi serikali ilivo na majicho malegevu hivi, unadhani huyo pimbi atawajibishwa? Hakuna lolote hapo ni maagizo hewa kaa kwa kutulia uone movie linaishaje
 
Tuliwahi kusema humu katika mistake ambayo Gwajima aliifanya katika maisha yake ni kujiunga na CCM kisha kuhongwa ubunge!

Uchaguzi wa 2020 ulimuondolea credibility yote ambayo aliijenga katika jamii kwa muda mrefu mno…

Ile saa ya kufikishwa mbele ya kuhani mkuu imefika na this time atamalizwa hatainuka tena!

Nimemsikia askari mmoja wa sinagogi akikumbushia video ya Ngono ya askofu aliyosingizia sijui mkono wa baunsa!! Nimestushwa mno na kauli ile tena ya askari wa sinagogi dhidi ya mjumbe wa baraza Yao…

Kama nawaona mafarisayo na wakuu wa baraza walivyojipanga kumshitaki na kumshuhudia yote mbele ya kuhani mkuu KAYAFA!!

Swali baada ya hukumu ya KAYAFA Gwajima atasimama na nani akamwamini?

Naisubiria kwa hamu saa ile atakapoletwa mbele ya baraza!!
Ni dhahiri,
Gwajima hataki tena kuwa Mbunge, dhambi ya wizi wa kura inamtafuna,aliyemuweka madarakani (sponsor) hayupo tena. Namna pekee ya kufanya ili afukuzwe ni kufanya mambo yasiyovumilika.Hizi kelele anazopiga ni style ya pepo aliyemwingia kutoka.
 
Kwanza lile jengo lake pake ubongo anahatarisha usalama wa wananchi nengo kule nyuma limeoza na ukuta uko juu juu muda wowote litavunjika ma lipo chini ha wire za umeme unaoenda zanzibar n chini kumepita gass.
Mbona pa kumkamatia tunamo,,!!
Umeme unaenda zanzibar?
 
Tuliwahi kusema humu katika mistake ambayo Gwajima aliifanya katika maisha yake ni kujiunga na CCM kisha kuhongwa ubunge!

Uchaguzi wa 2020 ulimuondolea credibility yote ambayo aliijenga katika jamii kwa muda mrefu mno…

Ile saa ya kufikishwa mbele ya kuhani mkuu imefika na this time atamalizwa hatainuka tena!

Nimemsikia askari mmoja wa sinagogi akikumbushia video ya Ngono ya askofu aliyosingizia sijui mkono wa baunsa!! Nimestushwa mno na kauli ile tena ya askari wa sinagogi dhidi ya mjumbe wa baraza Yao…

Kama nawaona mafarisayo na wakuu wa baraza walivyojipanga kumshitaki na kumshuhudia yote mbele ya kuhani mkuu KAYAFA!!

Swali baada ya hukumu ya KAYAFA Gwajima atasimama na nani akamwamini?

Naisubiria kwa hamu saa ile atakapoletwa mbele ya baraza!!
Nawe unaamini kuna wa kumfanya chochote Gwajima?
Tupo hapa sote mashahidi
Jana si umemsikia Siro?
 
Never ever....!

Nilishawahi kufikiri hivyo pia, kuwa alifanya makosa kujiunga na CCM na kupewa ubunge...

Lakini sasa nimeelewa kusudi la Mungu Yehova lilikuwa ni nini kuruhusu...

Hii ni nyundo ya kuiponda ponda joka liitwalo CCM na ilikuwa lazima aingie huko ndani mwao kwa mlango huu...
View attachment 1896170

Sijui kama unaelewa ujumbe uliomo ndani ya video hii. Kwa namna hii, nani anadhani kuwa Dr Dorothy Gwajima na wenzake huko serikalini wana credibility ya kuamuru mtu huyu akamatwe...?

Giza haliwezi kuishinda Nuru hata siku moja...!
Wachache sana watakaokuelewa!
Hata mi nilimind sana aliniudhi nilipna km Nina yake ni kuwaondoa kina mdee!
Lakini baadae nimegundua Mungu alikuwa na sababu!
 
Haya haya Gwajiboy ile saa imefika… kayafa atakusaga saga
 
Back
Top Bottom