Muda ni mwalimu mzuri sana🕛

Wazungu wanamtumia sana huyu mwalimu, ndio maana wapo mbali kiuchumi.
Wanautumia ila siyo kwa kusubiri. NO.
wanaproject wanaweka pesa. Tena siku hizi wazungu wanakitu kinaitwa inside trading. Nafkiri tunakijua Sasa kwa sababu ya integration ya mawasiliano na whistle blowing plus citizen journalism imekuwa a thing. Kutoboa ni ngumu sana unless kuna hivyo vitu hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…