ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,314
- 41,064
- Thread starter
-
- #41
Shukrani🙏🙏Binadamu ni Maada
Ana ujazo na uzito
Kwenye uzito, anaendeshwa na kanuni za tatu za newtons
Mojawapo ni kanuni ya pili ya Mchapuko inategemeana na nguvu ya mvuto(Gravity)
F= ma
Kwenye ujazo, anaendeshwa na kanuni ya Uhusianifu Maalum(Special Relativity)
s² = c² t² - x² - y² - z²
Kwa kutumia hizi nadharia mbili, anaingia kwenye Nafasi-Wakati (SpaceTime)
Endapo binadamu ataweza kwenda mbio zaidi, Muda huenda polepole.
Kwa hiyo kama maisha yako utakuwa mzembe mzembe huchachariki na kukimbizana na maisha , maana yake kwako muda utaenda haraka na utajikuta umeezeka haraka kuliko wachakarikaji ambao muda wote wako mbio mbio na maisha wameyapatia.
Tafuta hela kijana anza sasa kukimbia
♥️Shukran sana bro.
Shukrani🙏1.5M views · 103K reactions | Spread your light | Youranxietyislying2yew
Spread your lightwww.facebook.com
Asante kaka 🙏🙏♥️Nimependa hitimisho lako la muda ni maisha.
Naam zimekuwepo dhana nyingi kuhusu muda, dhana za kiimani kisayansi na hata kimaumbile.
Unaweza kutafsiri na kujenga hoja kuhusu muda kupitia engo uliyo egemea.
Mjadala uliopo hapa ni kuhusu muda lakini pia hamna utengano kati ya muda na wakati, kwa hio wakati hutangulia kisha muda, na zote hizo zilianzia pale ulimwengu ulipo anza kwa ile dhana ya bing bang.
Baada ya hio bing bang ndio kulizaliwa wakati , nafasi na umbali.
So kwenye wakati ndipo kuna muda.
Kimsingi watu waliokua hawana sense ya muda walikua na pattern za matendo sehemu kubwa ilikua ni kwaajili ya matumbo na uzazi(ngono).Inaamana bila mda tungekua tunafanya vitu bila mwelekeo wala nidhamu si ndio ?
maana moja ya kazi ya mda ni kufanya vitu kwa nidhamu
Mda ni njia ya mabeberu kutuondolea furaha ki vp kwani na wao si wanautumia.
🤔🤔🤔 mambo ya kuhofia kesho🙌
Tuko 1448 na sio 2026
Hii ni calender ipi mkuu?
Natanguliza shukran
Ooh sawa mkuuKimsingi watu waliokua hawana sense ya muda walikua na pattern za matendo sehemu kubwa ilikua ni kwaajili ya matumbo na uzazi(ngono).
🙌🙌Kiherehere cha mabeberu kugundua muda na vifaa vingine vya kimaendeleo vilifanya watu waanze kujilimbikizia mali na kujali muda.
Mahangaiko ya mwanadamu yakaanza🤔Kama vitendo vilivyokua vifanyike kesho kutwa vinaweza kufanyika leo na kuokoa muda basi kuanzi hapo mahangaiko ya mwanadamu yakaanza
Wewe ni Muslim?Mwaka 1448 ndiyo mwaka wa waislamu
NimeelewaMuda ulikuwepo ila waliokuwepo hawakuujua na hawakuwa na shughuli nao
Asante mkuu🙏🙏Tuko mwaka 1448 ni fact kwa mujibu wa dini ya kiislam, wachina na waethiopia nao wana muda wao na huo 2026 ni wako
Binadamu anaishi wakati uliopo tu na ndio muda wenyewe 📌Bora uanze taratibu kwa mpangilio kuliko kufanya haraka kwa kutokupangilia. Hakuna aliechelewa katika maisha unavyoishi ndio maisha. Maisha sio utakavyoishi maisha ni vile unavyoishi sasa kuhusu kesho utakavyoishi ni mipango tu nasi maisha halisi kwasababu binadamu anaishi wakati uliopo tu na ndio muda wenyewe THE ONLY TIME IS RIGHT NOW.
Kwahiyo mpka saiv upo wapi mkuu😅Mimi nachojua binadam anaishi mara mbili tu
siku anayozaliwa na siku anayokufa
maanake siku 2 tu!
Kwanini mahi ndio ingekufaa ?Hii post ungeandika mwaka 2009 nilipomaliza elimu yangu . Ya awali i mean pre 1
Ni kweli🤝Muda upo ndani ya nyakati.
Aisee so mda ni kitu cha kutunga tuCALENDAR IS FAKE, THERE IS ONLY DAY AND NIGHT.
JAMII YOYOTE INAWEZA AMUA KUANZA KUHESABU MASAA KILA BAADA YA DK 100, AU KUJIHESABIA SIKU YENYE MASAA 10 TU NA KISIHARIBIKE KITU.
JAMII INAWEZA AMUA KUANZA KUHESABU MIAKA UPYA LEO NA KISIHARIBIKE KITU.
MUDA SI KITU HALISI.