muda muafaka wa tendo kabla ya ejaculation.

Aristolicius

Senior Member
Mar 3, 2012
110
38
salam jf
ningependa kujua ni muda gani ni wa kawaida kwa mwanaume anapoanza kufanya mapenzi hadi ejaculation(the minimum required time before ejaculation) .na pia swali linaoendana na hilo ni muda gani unaohitajika kumridhisha mwanamke(minimum time required to satisfy a woman during sex).
 
Tarehe 10.09 wenzio wanafungua shule pia serikali itatoa mahitaji yote ya walimu kuondoa mgomo.
 
Tarehe 10.09 wenzio wanafungua shule pia serikali itatoa mahitaji yote ya walimu kuondoa mgomo.

naona baada ya kukosa jibu la swali,ukaamua ukumbushe kila mtu tarehe yenu ya kufungua shule, hii ni jf doctor kuna watu wenye taaluma zao na experience zao watatoa majibu ya kueleweka sio lazima kucomment kwa kila post hata kama hauna mchango.
 
Back
Top Bottom