Muda huu uko na mwenza wako wapi?

Kuna wakati ugomvi unahusisha na hao wengine mtu unaamua kuachana na kubembeleza sijui na kukata mawasiliano yahusuyo mahusiano anakuja anakutamkia kuwa ukirudia tena kukata mawasiliano atakufanyia jambo baya sana ambalo litashangaza watu
Hapo inawalazimu mfanye kikao cha dharura
 
We acha tu maana vikao tunakaa ila havimalizi tatizo.
Unajua unapokuwa na mahusiano halafu mwenzio rafiki yake ni mtu singo mama na ushauri anatoa huko inakuwa shida sana
  • Mwanaume ni kichwa cha familia
  • Mwanamke ni shingo, inayoweza kugeuza kichwa kila upande
  • Samaki mkunje angali mbichi; usipofanya hivyo mapema, yeye atachukua nafasi ya ubaba na wewe utakuwa kwenye wakati mgumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…