Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,619
- 65,083
- Thread starter
-
- #41
Hakikisha mnakula na kunywa vizuri 😀Nipo lodge hapa Survey nafanya mambo ya wizara ya masuala ya nje
Wife hana kizaz ndo nimletaaa aombeweMnafanya nini wote wawili huko?
Hapo Igurusi jua likizama madereva wa Maroli wakipaki lazima watafute sehemu ya kumwaga OilWatakua washatomba
Mkuu nipe namba yake namimi nimpe pole. Niko Igawa hapaMimi niko hapa igulusi
Mwenzangu yupo huko igwachanya
Kaniambia ananyege nmemjibu pole
Nae akajibu haya
Wewe ni wakuchapwa vibokoTupo zetu nyumbani anaogesha watoto wake.
Kwanini mkuu?Wewe ni wakuchapwa viboko
Mimi huyu wa kuosha watoto halafu wewe uwe unachati!!!!.Tupo zetu nyumbani anaogesha watoto wake.
Mwenzio unamdanganya ukitoka hapo unaenda kwenye mchepuko! Kapumbavu!Mimi nipo na mwenza wangu, tunasikiliza kwaya; je wewe upo na nani?
Mtafanikiwa tu, muhimu uvumilivuWife hana kizaz ndo nimletaaa aombewe
Kwani si ni watoto wako? Ukiwa na upendo na watoto wako hautaona kitu fulani ni jukumu la mwingine kukifanya.Mimi huyu wa kuosha watoto halafu wewe uwe unachati!!!!.
Anyway, kila shetani na mbuyu wake.
Mnafanya nini huko?Moshono
Kizazi kilitotewa mkuu? Sasa anaombewa ili kirudi au ni kwamba hana uwezo wa kuzaa?Wife hana kizaz ndo nimletaaa aombewe
Ni vizuri mkawa pamojaMwenzangu kanijibu leo makolo wanacheza na sitaki hata kumsogelea. Kwa hiyo hapa nasubiri tu game ya Yanga na Azam weekend iishe
Kazi yake si kuogesha watotoKwanini mkuu?
Nyumbani...Kama uko mwenyewe mwenyewe hilo ni tatizo, au mwenzako yuko mbali na wewe, hilo nalo ni tatizo pia; kwa kifupi hayo sio maisha.
Adam alipokuwa pekee yake, alitafutiwa msaidizi ili wakae pamoja; iweje wewe uwe peke yako peke yako? Wengi tutasingizia ni utafutaji wa maisha n.k, je ni sahihi kupingana na dhana halisi ya uumbaji kwa ajili ya pesa?
Mimi nipo na mwenza wangu, tunasikiliza kwaya; je wewe upo na nani?
Tunaburudika na nyimbo laini za kwaya, si unajua leo jumapili; huku yeye amevaa kitenge, nami nikiwa nimevaa shati la kitenge 😀Mwenzio unamdanganya ukitoka hapo unaenda kwenye mchepuko! Kapumbavu!
Kwenye malezi hamna jukumu la baba au la mama.Kazi yake si kuogesha watoto