Muda huu nimetoka lock up, kisa mapenzi

Muda huu nimetoka lock up, kisa mapenzi

Meno ya huyo jamaa bado yapo hapo gheto...?
nina shida nayo sana, hata kama kwa malipo ya pesa nipo tayari mkuu.
Hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah mbavu Zng khaaaaaaaaaaaaa
 
ili tugundue nini?
Hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah hahahahahahah
 
Mkuu mwanamke hagombewi, hapo ungetengeneza biashara tu, ungeandaa kamerayako kisha unakula mapicha ya kutosha ukiwa umejificha kisha pocha ya mwisho unapiga wanakuona, kisha unaondoka mdogo mdogo kwenda ndani kwako, nakwambia demu atahama mwenyewe na jamaa atakuja kwa magoti akiomba hizo picha kwa gharama yoyote.
We bila shaka mchg
 
We tang'ana ni kibaka, umejeruhi watu kwanini sasa umerudishwa uraiani? Naomba unitajie unaishi wapi nije kukushughulikia na wenzangu wapenda amani.
 
hivi mkuu wewe si ndio huwa unajifanya shababi, mwenye hogo la haja na unaekaza mademu mpaka wanakimbia na chupiii zao?nni kimetokea mpaka unagongewa?
 
We nawe hutaniwi mkuu.alikuwa anakupima uvumilivu.so umeprove failure
 
Tukiwa bado tunatafakari miaka miwili ya Rais Magufuli, kuna majanga yamenikuta mwenzenu. Kwa kifupi toka Jumapili nilikua lock up, sababu kubwa ikiwa ni mapenzi yani kuna mwanamke nilidhani nimepata kumbe nimepatikana.

Mwishoni mwa week nimetoka kwenye mizunguko yangu sikumkuta ghetto, ufunguo kaacha kwa jirani na kaondoka bila kuniaga, nikasema ngoja nimuwekee mtego nione atarudi na nani na akiwa katika hali gani.

Nikamtumia text nikamwambia niko nacheck game ya man u na chelsea,so nitachelewa kurudi na nikiwahi sana basi itakua ni saa 5 usiku, muda huo huo nikaweka patrol mitaa ya pale gheto ili kumnasa adui, mara nikashangaa prado nyeupe inapark pale gheto na yule mwanamke akashuka na lijamaa flani wameshikana mikono, nikaona wamesimama na lile janaume pale muda mrefu.

Mara paa na mimi nikawaibukia pale, sikutaka kuuliza nani ni nani nikatembeza kichapo kwa wote kwa kutumia rungu langu ambalo hua nalihifadhi ndani kama silaha ya kujilinda in case nikivamiwa, yule jamaa nikamg'oa meno mawili ya mbele pale pale na ngeu za kutosha, msichana nikampiga mpaka nikamvunja mkono, tunavyoongea saivi kawekewa POP tayari, jamaa yake kashonwa nyuzi sita usoni, so police waliokua doria wakasikia zile kelele wakaja wakanikamata wakanipeleka central.

Toka Jumapili nilikua lock up, nimefunguliwa kesi ya kushambulia na kudhuru miili ya watu wawili kinachoendelea ni kwamba jamaa niliyembonda hataki masuala ya mahakamani ni mume wa mtu anasema anaona aibu watu wakijua kuwa nimemdunda kisa alikua na kidosho mwingine, kwa hiyo ameniomba haya mambo yaishie police tu me nilipe gharama za kufuta kesi, nimerudi gheto muda huu cha kwanza nimefika nikachukua kila kitu cha yule mwanamke na nimetia kiberiti.

Ahsanteni.
Ww ni jabalii .
Agiza kinywaji nitalipa
 
aisee je angekua mke ingekua aje...punguza hasira utaishia segerea huku unaacha mkeo na jamaa wakila raha kwa kwenda mbele....
au je jamaa angekugeuzia kibao kwamba wewe ndio unamchukulia mke wake na amekufumania ukaleta fujo!!..
hii ikupe fundisho mkuu huyo mwanamke anaweza akakugeuka mahakamani mpaka ukashangaa...
 
Tukiwa bado tunatafakari miaka miwili ya Rais Magufuli, kuna majanga yamenikuta mwenzenu. Kwa kifupi toka Jumapili nilikua lock up, sababu kubwa ikiwa ni mapenzi yani kuna mwanamke nilidhani nimepata kumbe nimepatikana.

Mwishoni mwa week nimetoka kwenye mizunguko yangu sikumkuta ghetto, ufunguo kaacha kwa jirani na kaondoka bila kuniaga, nikasema ngoja nimuwekee mtego nione atarudi na nani na akiwa katika hali gani.

Nikamtumia text nikamwambia niko nacheck game ya man u na chelsea,so nitachelewa kurudi na nikiwahi sana basi itakua ni saa 5 usiku, muda huo huo nikaweka patrol mitaa ya pale gheto ili kumnasa adui, mara nikashangaa prado nyeupe inapark pale gheto na yule mwanamke akashuka na lijamaa flani wameshikana mikono, nikaona wamesimama na lile janaume pale muda mrefu.

Mara paa na mimi nikawaibukia pale, sikutaka kuuliza nani ni nani nikatembeza kichapo kwa wote kwa kutumia rungu langu ambalo hua nalihifadhi ndani kama silaha ya kujilinda in case nikivamiwa, yule jamaa nikamg'oa meno mawili ya mbele pale pale na ngeu za kutosha, msichana nikampiga mpaka nikamvunja mkono, tunavyoongea saivi kawekewa POP tayari, jamaa yake kashonwa nyuzi sita usoni, so police waliokua doria wakasikia zile kelele wakaja wakanikamata wakanipeleka central.

Toka Jumapili nilikua lock up, nimefunguliwa kesi ya kushambulia na kudhuru miili ya watu wawili kinachoendelea ni kwamba jamaa niliyembonda hataki masuala ya mahakamani ni mume wa mtu anasema anaona aibu watu wakijua kuwa nimemdunda kisa alikua na kidosho mwingine, kwa hiyo ameniomba haya mambo yaishie police tu me nilipe gharama za kufuta kesi, nimerudi gheto muda huu cha kwanza nimefika nikachukua kila kitu cha yule mwanamke na nimetia kiberiti.

Ahsanteni.
Huwezi kupata shahada ya uvumilifu.
 
niko nje kwa dhamana,kesho asubuhi natakiwa kuripoti police

Huyo mbaba mwambie hauna pesa ya kulipa.. atazitoa yeye kama kweli hataki kwenda mahakamani.

Mkienda tuwekee link tuwasome mkitolewa na Shingogo mitandaoni.

Ila kuwaumiza huko umepata faida gani na mwanamke sio mke wako!?
 
Back
Top Bottom