Muda huu nimetoka lock up, kisa mapenzi

Muda huu nimetoka lock up, kisa mapenzi

Ugharamie kufuta kesi kwani wewe ni mlakamikaji?
Kama anataka kesi iishie nje ya mahakama, atoe yeye huyo mheshimiwa kit om.bi.
 
Mkuu mwanamke hagombewi, hapo ungetengeneza biashara tu, ungeandaa kamerayako kisha unakula mapicha ya kutosha ukiwa umejificha kisha pocha ya mwisho unapiga wanakuona, kisha unaondoka mdogo mdogo kwenda ndani kwako, nakwambia demu atahama mwenyewe na jamaa atakuja kwa magoti akiomba hizo picha kwa gharama yoyote.
 
Utakuwa mchaga wewe, hukai mbali na fursa
 
Unapigaje binti ambae hata kumuoa hujamuoa bali mnazini tu?! Angekuwa mkeo kabisa si ungemchinja

Hasira hasara siku zote mura
 
Back
Top Bottom