Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Duuuh safari ya maisha INA mengi sana
Ndiyo maana laki kwake si pesa ana vitega uchumi vingi.ndo huyo huyo mkuu
nzuri,signature...yako,nimeipenda.Kwani mapenzi ni vita,, magari mengi abiria nao wengi
Nikwel lkn ifike mahala ukishapanda gari usipende kushuka sana.Kwani mapenzi ni vita,, magari mengi abiria nao wengi
Na usithubutu kumrudia tena
Asije kukulaghai tundio maana nimechoma kila kitu chake
Haaa haaa kama nakuona vile sasa wewe mwambie afute kesi yeye kama hataki mwambie tukutane mahakamanindo huyo huyo mkuu
