Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Yeah,yeah,put ur matherfaking hands in air for deo corleone,yo yo yoo, mi ninja moyoni,naumiza kipaza studioni,moyo wangu haupendi demu, unasukuma tu damu
sina heleni sikioni,viduku vyenu havifiti kichwani, na always suruali yangu ipo juu kiunoni

yea yea yea mi ni sauti ya mamlaka napaza mlimani,

kijana hapa one touch kata k nd'o habari ya mjini,

mistari yako empty ka hujantaja mimi,

ooh siamini alishaimba T.i.d zamani,

braza hapa utachana lakin hautafana,

vema ka ukaacha music ukalima,

ntakupandsha mashetan ka maimuna,

ukiwa na swaga za kitoto huwez mpata halima,
yia
 
yea yea yea mi ni sauti ya mamlaka napaza mlimani,

kijana hapa one touch kata k nd'o habari ya mjini,

mistari yako empty ka hujantaja mimi,

ooh siamini alishaimba T.i.d zamani,

braza hapa utachana lakin hautafana,

vema ka ukaacha music ukalima,

ntakupandsha mashetan ka maimuna,

ukiwa na swaga za kitoto huwez mpata halima,
yia
yes yes yoo!
 
hapana blaza, nimeona pia kuna wakuu wapo talented and i pay respect to 'em. tunabadilishana ujuzi tu kidogo wa hapa na pale

Nimemu0na huyo jamaa uliebattle nae yuko poa sa cjajua kwenye audio yupoje!
 
unajua nini? daah wakush sorry kama hamuwwezy download vile ngoma zangu nn. ila soonn, no worries mtakua able download vitu zangu!
 
Mambo ya pwani, guu la kushoto lavikwa cheni

dume zima shanga kiunoni, we rijali vya vinini vidani?

Bora cheni, matobo mpaka puani, au we mambo safi hatuelezani?

............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom