Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Haya makurut,na m nipigien salut,hiv vina viwachome kama mikuki,NAWACHAKAZA NA KIPAZA KAMA NIMESHIKA BUNDUK HAPA HAPA JAMII FORUM,NAWAKUNA KWA MISTAR MITAMU,NAWAKALISHA WAKONGWE KAMA TIMU YA AZAMU,KW MAKAME NATUMA SALAMU
 
Haya makurut,na m nipigien salut,hiv vina viwachome kama mikuki,NAWACHAKAZA NA KIPAZA KAMA NIMESHIKA BUNDUK HAPA HAPA JAMII FORUM,NAWAKUNA KWA MISTAR MITAMU,NAWAKALISHA WAKONGWE KAMA TIMU YA AZAMU,KW MAKAME NATUMA SALAMU

Rhyme gund aka line za kuungaunga
Unatemba vumbi utasema umevunda
 
Haya makurut,na m nipigien salut,hiv vina viwachome kama mikuki,NAWACHAKAZA NA KIPAZA KAMA NIMESHIKA BUNDUK HAPA HAPA JAMII FORUM,NAWAKUNA KWA MISTAR MITAMU,NAWAKALISHA WAKONGWE KAMA TIMU YA AZAMU,KW MAKAME NATUMA SALAMU

heheeee
Umaskini huo nawe unajifanya unachana/
umejawa na njaa, hujielewi mpaka unatukana/
wape habari wenzako leo snipa nakuchana/
urudi bushi, mjini umekosa chakufanya/

Kabla sijakutenda ushakuwa kichaa/
unajiuliza nani anaenichana unabaki kushangaa/
bimdogo unamrisha kuku, mkeo unampa dagaa/
pesa zako zote zinaishia baa/
mkeo na watoto wote wanalala njaa/
ukiishiwa nyumbani unabaki unabutwaa/

wape habari wanaojifanya kujua/
leo nimechanwa na mchanaji anaejua/

snipa !
 
Last edited by a moderator:
Sometimes ni disgrace mwana anaact mkaidi
anyway mmekuwa wabishi na mistari yenu ya gundi
na bado nawakimbiza ili mjue mi ni fundi
mchana hadi usiku silali natafuta hundi
nafanya juu chini hii ni kazi sina budi
nataka jina langu liwepo wakiitwa wenye juhudi
nidhamu kitu cha bure utaonekana bundi
au chagua moja mfuate Musa au firauni,
Nazidi kuenzi tamaduni
napigana natoa jasho ushindi uko damuni,
Ila kwa hiyo mistari yenu mtapotea
kamwe hamtorejea,

C.C SAUTI YAKO gwijimimi snipa
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya pwani, guu la kushoto lavikwa cheni

dume zima shanga kiunoni, we rijali vya vinini vidani?

Bora cheni, matobo mpaka puani, au we mambo safi hatuelezani?

............


Unaandika nini/
Bongo fleva, Taarabu sielewi unaimba nini/
usi force mistari acha kulazimisha fani/
hujui kuflow rudi bushi mwachie snipa fani/
nimekuja kuwafundisha nyie mnaovamia fani/

waambie wenzio snipa ni hatari/
Jakaya anawapa misaada snipa nawapa mistari/
snipa ni jeshini wasije bila kibali/

Mistari yangu ni mmeo mwema/
imekuoa bila voko kutema/
huu ni ukweli kamwe huwezi kudema/
na kesho naenda bungeni wajinga watanikoma/

Njoo na wenzako waite kama mpoto/
na kesho snipa naripua gongo la mboto/
mhamishe mwanao mabomu hayajali utoto/
usipo nisikia wallah utakiona chamoto/


snipa
 
Last edited by a moderator:
Sometimes ni disgrace mwana anaact mkaidi
anyway mmekuwa wabishi na mistari yenu ya gundi
na bado nawakimbiza ili mjue mi ni fundi
mchana hadi usiku silali natafuta hundi
nafanya juu chini hii ni kazi sina budi
nataka jina langu liwepo wakiitwa wenye juhudi
nidhamu kitu cha bure utaonekana bundi
au chagua moja mfuate Musa au firauni,
Nazidi kuenzi tamaduni
napigana natoa jasho ushindi uko damuni,
Ila kwa hiyo mistari yenu mtapotea
kamwe hamtorejea,

C.C SAUTI YAKO gwijimimi snipa


Viol umeanza jana kuchana/
unachoandika siosiri hakina mana/
we na sepetu sio siri mnafanana/
snipa ze real emcee leo nakuchana/

Mi mgumu kama babu seya/
kamwe siogopi kifungo cha jakaya/
Viol mrembo nakufananisha na nakaya/
Madem wengi sio ugumu ni ila n umalay*/

snipa hata usipo ni zoom na appear full screen/
kidume unachekesha sasa unapovaa vimini/
waambie wenzio ban kwa snipa kamwe haiwezekani/

snipa
 
Last edited by a moderator:
Viol umeanza jana kuchana/
unachoandika siosiri hakina mana/
we na sepetu sio siri mnafanana/
snipa ze real emcee leo nakuchana/

Mi mgumu kama babu seya/
kamwe siogopi kifungo cha jakaya/
Viol mrembo nakufananisha na nakaya/
Madem wengi sio ugumu ni ila n umalay*/

snipa hata usipo ni zoom na appear full screen/
kidume unachekesha sasa unapovaa vimini/
waambie wenzio ban kwa snipa kamwe haiwezekani/

snipa

Kazi yako bado changa unapwaya/
unachana au unaimba kwaya kwaya/
mamluki kwenye fani uso mgumu bila haya/
mmevamia fani nawasaka ngazi kwa ngazi hadi kaya/
mwisho kwa jakaya,
nawakilisha,mi ndo wako teacher,nakufundisha,
ukizingua nakutisha,kifani nakudedisha/
hebu pisha,we mic chini acha kuimbisha/ snipa kimistari mi napaa/

unabaki nyuma unaganga njaa/
 
Last edited by a moderator:
Nipo kikamanda,
,mi na mic ka pete chanda,
mamluki wanasanda,
nitabaki peke yangu mpaka navishwa sanda,
usoni si aibu kama porn star jada fire,
 
Kazi yako bado changa unapwaya/
unachana au unaimba kwaya kwaya/
mamluki kwenye fani uso mgumu bila haya/
mmevamia fani nawasaka ngazi kwa ngazi hadi kaya/
mwisho kwa jakaya,
nawakilisha,mi ndo wako teacher,nakufundisha,
ukizingua nakutisha,kifani nakudedisha/
hebu pisha,we mic chini acha kuimbisha/ snipa kimistari mi napaa/

unabaki nyuma unaganga njaa/


Bado unawaza pumba/
hadi leo unavaa nguo za mtumba/
maskini mkubwa hebu rudi shamba/
kawaambie mjini shule maisha yamenishinda mjomba/

waambie snipa bonge la mchanaji/
hujui kuchana nenda twanga ukawe mnenguaji/
jasho linakutoka, kanywe maji/
waambie snipa bonge la kipaji/
wakija watapotezwa wote wanaojifanya wajuaji/

snipa nataka serikali nane/
hapa hip hop tunga ujinga nikuchane/
jana pasaka mkulima hauhusiki sio nanenane/
Rudi bushi karoge ndo uje unichane/

snipa
 
Last edited by a moderator:
si lazima nianze kushika zip jukwani nikifika
nakuchana fasta zaidi ya quick raka
tena kama ak 47 yani ile ka ka ka ka ka
iwe ringtone au beat la majani mi natiririka
 
si lazima nianze kushika zip jukwani nikifika
nakuchana fasta zaidi ya quick raka
tena kama ak 47 yani ile ka ka ka ka ka
iwe ringtone au beat la majani mi natiririka


Shyn Cee we ni bonge la feki Emcee

achana na Rap ! Afu ndugu yangu Viol umenikimbia !
 
Last edited by a moderator:
KUMBE WE NDIO SHOGA AKE NA B MDOGO,MI SIHONG ZAID YA MIHOGO,KIMISTAR UNIWEZ DOGO,umemchokoza mbogo,utaisoma hii logo,omba msamaha upes,dokta nimalize kaza ilokushinda nes,jichek juu mpka chin,we wa kuja mjin,born town niende wap m wa hapa hapa nashain
 
kweli fan imevamiwa wanarapu hadi wauza miwa,Tofaut m natema madin,WAO HAWAELEWEK WANAIMBA NIN,nawakimbiza speed 120,mithil ya hussen bolti,kaka mkuu old school nawapigisha magot,SNIPA mbele yangu ni mdebwedo kama JOTI
 
Kumbe huku kutamu, basi mwageni na mistari ya mahaba kidogo........naona mnachana mistari ya kigumu tuuuuuu.......!
 
Kumbe huku kutamu, basi mwageni na mistari ya mahaba kidogo........naona mnachana mistari ya kigumu tuuuuuu.......!


Kim nana sio siri nakupenda kijana mwenzio/
niende wapi na wewe ni langu chaguo/
napenda nikuoe unifurie nguo/
wakati wajoto uwe wangu kimbilio/
ukijihisi mpweke mi ni wako ufunguo/
please Kim nana sikia changu kilio/
nielewe Kim nana nionee huruma kijana mwenzio/


Usiku snipa sipati usingizi/
Na kesha kukuwaza changu kipenzi/
Nazidi kumwomba mwenyezi/
unielewe Kim nana kipenzi/
kijana mwenzio sio siri sijiwezi/
niki ku call unadai umebanwa na kazi/
ooh piga badae badae unaniumiza kipenzi/
any way yote namwachia mwenyezi/

Kim nana hivi unakumbuka?/
ahadi zako zile ulizonipa/
ulisema ikifika leo jibu langu utanipa/
au unafurahi kuniumiza snipa?/
Mbele ya hadhira leo ukweli nakupa/
haya sasa muda umeishafika/
na matatizo yangu bila wewe hayawezi tatulika/
jinsi nnavyokupenda mpaka mistari nimeiandika/
elewa nnavyokupenda wangu malaika/

snipa
 
Last edited by a moderator:
Kim nana sio siri nakupenda kijana mwenzio/
niende wapi na wewe ni langu chaguo/
napenda nikuoe unifurie nguo/
wakati wajoto uwe wangu kimbilio/
ukijihisi mpweke mi ni wako ufunguo/
please Kim nana sikia changu kilio/
nielewe Kim nana nionee huruma kijana mwenzio/


Usiku snipa sipati usingizi/
Na kesha kukuwaza changu kipenzi/
Nazidi kumwomba mwenyezi/
unielewe Kim nana kipenzi/
kijana mwenzio sio siri sijiwezi/
niki ku call unadai umebanwa na kazi/
ooh piga badae badae unaniumiza kipenzi/
any way yote namwachia mwenyezi/

Kim nana hivi unakumbuka?/
ahadi zako zile ulizonipa/
ulisema ikifika leo jibu langu utanipa/
au unafurahi kuniumiza snipa?/
Mbele ya hadhira leo ukweli nakupa/
haya sasa muda umeishafika/
na matatizo yangu bila wewe hayawezi tatulika/
jinsi nnavyokupenda mpaka mistari nimeiandika/
elewa nnavyokupenda wangu malaika/

snipa

We mbaaaayaaaaa, ntakufikiria mwenzangu na hivi ni Virgo mwenzangu.......loh!
cc; doctor usione wivu jamani.
 
Last edited by a moderator:
We mbaaaayaaaaa, ntakufikiria mwenzangu na hivi ni Virgo mwenzangu.......loh!
cc; doctor usione wivu jamani.


Please usichelewe Kim nana/
kisa wewe nishakuwa chizi kitaa wananitukana/
ooh my god but i can't give up 4 you ma Africana/
i thank god atleast uko tofauti na jana/
snipa niki ku call ulikuwa unanuna/
snipa nikikuita kim ulikuwa unachuna/

When i look at your face/
i dare to kiss you ain't gime a chance/
i'll marry you and we'll move outerspace/
Come on let's go to my birthplace/
if you'll be my wife i'll buy you a nacklace/
You'll be happy and beg me to dance/
Kim nana our life concern love and peace/

snipa am African and a blackboy/
Kim nana your my african queen but you so beatufully like chinese toy/
Any men who will come closure to you i'll destroy/
wanakudanganya eti snipa mi playboy/
leave them alone let's us enjoy/
they're so weak but snipa am a superboy/

I know your family snipa they will approve/
coz Kim nana your real my love/
surely kim nana your my ladylove/
tell me my weakness and i'll improve/
Between em all snipa am Above/
as you see them your family has been disapprove/
ooooh Kim nana your my love/


snipa
 
Last edited by a moderator:
We mbaaaayaaaaa, ntakufikiria mwenzangu na hivi ni Virgo mwenzangu.......loh!
cc; doctor usione wivu jamani.

Kama tulipendana basi tusingeachana,
Tuliachana kwa vile tulishindwana,
Ukaniacha 8 miles nikabaki
Peke yangu,
Sahivi umerudi tena eti Viol nakupenda,
Wakati ulinitema,
Una wapenzi wengi kama mikia ya pweza,
Kukupenda sintoweza,
Ukanitoa nishai,
Ukaniona sifai,
Unawapenda mastaa,
Mi sijawahi faa
Kaa far
Kama kuna makao makuu ya vicheche basi dar,
Siwezi kuwa na jelous hata snipa akuhonge ndege,
Ukanitosa mbele ya magenge,
Nilipata skendo eti unahongwa madebe
 
Last edited by a moderator:
snipa sikukimbia,
Nakufunika mpaka unasinzia,
Kama stim za bia inavyokuingia,
Nafsi zenu zinakiri
Mi ndo mc mwokozi mliyemtabiri,
Au bado hamkiri
Mi ni jemedari?
Kwanza tulia we kama nyangema,
Huwezi kuchana nukta mbili unahema
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom