Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Please usichelewe Kim nana/
kisa wewe nishakuwa chizi kitaa wananitukana/
ooh my god but i can't give up 4 you ma Africana/
i thank god atleast uko tofauti na jana/
snipa niki ku call ulikuwa unanuna/
snipa nikikuita kim ulikuwa unachuna/

When i look at your face/
i dare to kiss you ain't gime a chance/
i'll marry you and we'll move outerspace/
Come on let's go to my birthplace/
if you'll be my wife i'll buy you a nacklace/
You'll be happy and beg me to dance/
Kim nana our life concern love and peace/

snipa am African and a blackboy/
Kim nana your my african queen but you so beatufully like chinese toy/
Any men who will come closure to you i'll destroy/
wanakudanganya eti snipa mi playboy/
leave them alone let's us enjoy/
they're so weak but snipa am a superboy/

I know your family snipa they will approve/
coz Kim nana your real my love/
surely kim nana your my ladylove/
tell me my weakness and i'll improve/
Between em all snipa am Above/
as you see them your family has been disapprove/
ooooh Kim nana your my love/

snipa

Jamani mbona mistari mitamuuu.........! yani nahisi kusinzia.
 
Last edited by a moderator:
Kama tulipendana basi tusingeachana,
Tuliachana kwa vile tulishindwana,
Ukaniacha 8 miles nikabaki
Peke yangu,
Sahivi umerudi tena eti Viol nakupenda,
Wakati ulinitema,
Una wapenzi wengi kama mikia ya pweza,
Kukupenda sintoweza,
Ukanitoa nishai,
Ukaniona sifai,
Unawapenda mastaa,
Mi sijawahi faa
Kaa far
Kama kuna makao makuu ya vicheche basi dar,
Siwezi kuwa na jelous hata snipa akuhonge ndege,
Ukanitosa mbele ya magenge,
Nilipata skendo eti unahongwa madebe

Jamani hadi rahaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Jamani hadi rahaaaaaa!

Mbona unanitesa mapenzi yananiwasha,
Najua we ni daktari mpenzi mbona unapisha,
Au unataka nife kwa ugonjwa wa mapenzi,
Ili wahuni wacheke wanione mi mshenzi,
Hujui bado nasoma,
Halafu unaleta noma,
Unataka mi nifeli nirudi kwetu kigoma,
Usiku nikilala mapenzi yananipata,
Asubuhi nikiamka nayo tu yananifwata,
Simu nikipiga unakata,
Nikipoa unanifwata,
Kiss tu ndo unanipa
Mengine unaogopa,
Nipe keki nimege,
Nipe penzi nijigange,
Usiku ni mrefu na bado mi nangoja
 
Hahahaaaaaa, tatizo snipa anakuzibia......eti katangaza ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa, tatizo snipa anakuzibia......eti katangaza ndoa.

Mwambie Viol aache ku force gem/
Nakuoa Wiki ijayo ajiandae kukuita shem/
akiendelea kuzingua ntamnyang'anya modem/
snipa ni xylem naandika Rhymes mpaka poem/

Viol please usishindane na mimi/
unaandika pumba snipa natema madini/
unajiita kidume mbona unavaa biki**/
kushindana na snipa utakufa maskini/
level zako Viol sio zakushindana na mimi/

Sina jinsi ukweli lazima nikupe/
iwe usiku , giza hata kukiwa kweupe/
sure Viol namuoa Kim nana kadi lazima nikupe/
nakushangaa king'ang'anizi kama kupe/

vipi leo Viol umeanza ubishi/
Nitamuoa Kim nana tena bila ubishi/
Ukizingua Viol ntakufanyia mazishi/
Au unaonaje niki kugeuza house boy, uje kuwa mpishi ?/

snipa
 
Last edited by a moderator:
KUMBE WE NDIO SHOGA AKE NA B MDOGO,MI SIHONG ZAID YA MIHOGO,KIMISTAR UNIWEZ DOGO,umemchokoza mbogo,utaisoma hii logo,omba msamaha upes,dokta nimalize kaza ilokushinda nes,jichek juu mpka chin,we wa kuja mjin,born town niende wap m wa hapa hapa nashain

We mwanafunzi Dogo nenda kalale/
kasome hesabu na hadithi za chief maleale/
una swaga za kienyeji utadhani mzee wa kale/
SAUTI YAKO kichwa kama kwale/
unaandika pumba una njaa nenda ukale/

Utagonga division five dogo shauri yako/
Unaacha ukasome uwasaidie ndugu zako/
nakuonea huruma mimi snipa kaka yako/
ona staili yako ya uandishi unaelewa peke yako/
Division five we ukizingua ntaharibu matokeo yako/
waambie wenzio mi ndo snipa Ndalichako/

snipa
 
Last edited by a moderator:
snipa sikukimbia,
Nakufunika mpaka unasinzia,
Kama stim za bia inavyokuingia,
Nafsi zenu zinakiri
Mi ndo mc mwokozi mliyemtabiri,
Au bado hamkiri
Mi ni jemedari?
Kwanza tulia we kama nyangema,
Huwezi kuchana nukta mbili unahema

Huu sio muda wa Taarabu Viol acha utoto/
mistari yako full pumba haina changamoto/
snipa sumu kali weka mbali na watoto/
we kichwa ngumu hueleweki kama mrisho mpoto/
mi Taarifa ya habari, we kipima joto/
Nakuaidi Viol ntawaripua gongo la mboto/

Cheki nnavyo chana snipa unaniogopa/
Dem wako akiamka atakwambia ndotoni kaniota snipa/
Walikudanganya hakatwi mtu we ukadhani hata ukikopa/
Njaa na dhiki zimekutawala kila sehemu unakopa/
Una tatizo lolote viol njoo hapa kwa snipa/
my wife Kim nana cheki Viol anavyo ogopa/
anachekesha Ananishangaa Snipa benjamin Mkapa/ !

oi oi oi.......oiiiiiiii....respee man....!
 
Hahaaaaa, nikusomaaaaa......eti Viol anataka kuharibu mipango ya ndoa.......!
 
Last edited by a moderator:
Mwambie Viol aache ku force gem/
Nakuoa Wiki ijayo ajiandae kukuita shem/
akiendelea kuzingua ntamnyang'anya modem/
snipa ni xylem naandika Rhymes mpaka poem/

Viol please usishindane na mimi/
unaandika pumba snipa natema madini/
unajiita kidume mbona unavaa biki**/
kushindana na snipa utakufa maskini/
level zako Viol sio zakushindana na mimi/

Sina jinsi ukweli lazima nikupe/
iwe usiku , giza hata kukiwa kweupe/
sure Viol namuoa Kim nana kadi lazima nikupe/
nakushangaa king'ang'anizi kama kupe/

vipi leo Viol umeanza ubishi/
Nitamuoa Kim nana tena bila ubishi/
Ukizingua Viol ntakufanyia mazishi/
Au unaonaje niki kugeuza house boy, uje kuwa mpishi ?/

snipa

Kumbe wagumu mnajua kubembeleza eenh.....!
 
Last edited by a moderator:
Respect.jpg

oi oi oi.......oiiiiiiii....respee man....!

pamoja sana !
 
Huu sio muda wa Taarabu Viol acha utoto/
mistari yako full pumba haina changamoto/
snipa sumu kali weka mbali na watoto/
we kichwa ngumu hueleweki kama mrisho mpoto/
mi Taarifa ya habari, we kipima joto/
Nakuaidi Viol ntawaripua gongo la mboto/

Cheki nnavyo chana snipa unaniogopa/
Dem wako akiamka atakwambia ndotoni kaniota snipa/
Walikudanganya hakatwi mtu we ukadhani hata ukikopa/
Njaa na dhiki zimekutawala kila sehemu unakopa/
Una tatizo lolote viol njoo hapa kwa snipa/
my wife Kim nana cheki Viol anavyo ogopa/
anachekesha Ananishangaa Snipa benjamin Mkapa/ !

snipa

snipa
Una tatizo gani/
Au Umevamia fani/
Au umezidiwa na stim za jani/
Mistari yako laini/
Heri uimbe nai nai/

Wapi Kim nana mtoto wa pangani/
Achana snipa njo nikuwe ndani/
Utakula mema ya nchi na starehe na mambo flani/
Kwani ndoa kitu gani/
Halafu ya bomani
Njoo kwangu kula bata dar mpaka dubai/
 
Last edited by a moderator:
We mwanafunzi Dogo nenda kalale/
kasome hesabu na hadithi za chief maleale/
una swaga za kienyeji utadhani mzee wa kale/
SAUTI YAKO kichwa kama kwale/
unaandika pumba una njaa nenda ukale/

Utagonga division five dogo shauri yako/
Unaacha ukasome uwasaidie ndugu zako/
nakuonea huruma mimi snipa kaka yako/
ona staili yako ya uandishi unaelewa peke yako/
Division five we ukizingua ntaharibu matokeo yako/
waambie wenzio mi ndo snipa Ndalichako/

snipa

Take care utapotea/
Mashabiki watakuzomea/
Nakupa ukweli sijakuonea/
 
Last edited by a moderator:
Kamari mistari/
Jabali kabari/
Roba kali;
Kidizaini nikuite mwali/
Acha jeuri tafakari/
Wakati ushachezea vikwezi
Visivyo na idadi/
Msogelee@kim nana uone radi/
Kumpenda Kim nana kwangu kama jadi/
 
Last edited by a moderator:
anaeacha asili siku zote ni mjinga
michano yangu mikali inapasua anga
joto linawapanda haters mi upepo napunga
vita ya peni smtymez ni kali kuzidi ya mapanga
hii game ni full kuhustle nami nimetia nanga
anaesepa atoke tunaobaki wacha tusake mpunga
 
snipa
Una tatizo gani/
Au Umevamia fani/
Au umezidiwa na stim za jani/
Mistari yako laini/
Heri uimbe nai nai/

Wapi Kim nana mtoto wa pangani/
Achana snipa njo nikuwe ndani/
Utakula mema ya nchi na starehe na mambo flani/
Kwani ndoa kitu gani/
Halafu ya bomani
Njoo kwangu kula bata dar mpaka dubai/

Haaaaaaaa, nakuja Viol......chezea ruti za dubai...!
Dinazarde mjiandae kunisindikiza airport.
 
Last edited by a moderator:
Kamari mistari/
Jabali kabari/
Roba kali;
Kidizaini nikuite mwali/
Acha jeuri tafakari/
Wakati ushachezea vikwezi
Visivyo na idadi/
Msogelee@kim nana uone radi/
Kumpenda Kim nana kwangu kama jadi/

Mweeeee, nipende baba snipa mwenyewe hata simuelewi......
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom