Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

kama yeye mke wa mtu na mimi mme wa mtu...

kwa mapenzi nitakayompa ye mwenyewe ataomba talaka
kwani najua kila kitu kileleni hatochelewa kufika
popote nitakapomuona nimakiss,mahug mpk mwenyewe atadata
nitakuwa nae sambamba kama kahawawa na kashata
akinikubali sivungi naweka ndani fasta,
hata akinikataa sitokubali mpk nihakikishe utamu napata,
kwa mistari hii wachawi,wanafki lazima mtafyata

cc: tinna cute

Uwiiiiiii,, noumer sana.
 
Last edited by a moderator:
Huyo kwa mistari bwana mdogo,mimi ni baba lao
ni kama clement wa ikulu kigogo,ingekuwa misri basi mi ni pharaoh
kwa mistari hii akiniona lazima ageuze mgongo la sivyo atacheza kibao
labda anipe hongo,ndo nimsamehe lasivyo atarudi kwao
mimi kwa mistari ni kama hadithi na shigongo,

Ah ah anh anh naona unapiga porojo,
eti oh bwana mdogo jomba naku0na mdebwedo sijui zenji unakula urojo,
ukali wa rhymes na mistaqri punch kama kikongwe na mkongojo,

hapa nakupeleka fasta fasta,
kama spare niite aserereta,
kuchana nachana mpaka fid kadata,
nihs nkiendelea hapa utafyata.
Yea
 
Tawire mkuuuuuuuu.

hahah, donlucchese is a pro, y'all just amateurs,
my verses so sexy like tinna cute's avatar,
i keep a low profile no time for spot lights,
i make hard headed chicks like lara 1 go 'Yiiikees,
am blessed with these rhymes n' i spit em for free,
ain't Psquare, but my business is personally,
lyrical prodigy my pops thought i was going nuts,
ryt now he smiles when i send him some bank notes,
i killed their home boy and sent them apology,
bit.ches full of estrogen, good thing i know gynecology....
#DON
 
Last edited by a moderator:
Usijenge urafik na starehe,ikiwa shida mtoto wa jirani,dogo kabla uja balehe neno pesa liweke kichwani
 
hahah, donlucchese is a pro, y'all just amateurs,
my verses so sexy like tinna cute's avatar,
i keep a low profile no time for spot lights,
i make hard headed chicks like lara 1 go 'Yiiikees,
am blessed with these rhymes n' i spit em for free,
ain't Psquare, but my business is personally,
lyrical prodigy my pops thought i was going nuts,
ryt now he smiles when i send him some bank notes,
i killed their home boy and sent them apology,
bit.ches full of estrogen, good thing i know gynecology....
#DON

Oyooooooooooooooo!!!! tisha sana.
 
Last edited by a moderator:
don c ni mc wa baikoko, kwenye Hip Hop kiti anakiona moto, akikutana na kp kiparangoto, anakua mdogo sna kma toy za watoto, wa chekechea ama shule ya msingi, yy ni chalii lkn mm ni dingi #peace

Mkuu mchizi ni mkali,
kama mi nachana nipate gari ferari,
ye anachana akutie hatari,
ili isiwe mbali jukwaa uli0ne kali ka pili pili,
ucshangae the way i dres uswaz nd'o ze2 ku2pia kandambili,
 
Mkuu mchizi ni mkali,
kama mi nachana nipate gari ferari,
ye anachana akutie hatari,
ili isiwe mbali jukwaa uli0ne kali ka pili pili,
ucshangae the way i dres uswaz nd'o ze2 ku2pia kandambili,

we una kandambili, me nna kanda tatu, nakukusanya we na yy kma pesa za upatu, nawachoresha kwenye jukwaa kma gazeti la udaku, mmepindaa eeh? me nimenyongorota, na kma mmedata mirembe ndo hpa
 
Bring it ooon

Im ooon na siion Off Button, kwny battle Gwiji ni mimi cna mpinzani, wapinzani hawaonekani hata kwa microscope, nafaa niitwe drug vle kila mzee anadai me ni dope, i hope, uki battle na mm hyo ndo end ya career yko kma aftermath na interscope
 
Im ooon na siion Off Button, kwny battle Gwiji ni mimi cna mpinzani

Hahaha nice metaphor dude ila hapa utakaa
international flow gwiji Mimi balaa
Kichaa cha mistari hii milembe ya mtaa
Mi ndo jumba la sanaa Rafiki Wa kweli Wa mtaa gwiji chokoraa
 
Hahaha nice metaphor dude ila hapa utakaa
international flow gwiji Mimi balaa
Kichaa cha mistari hii milembe ya mtaa
Mi ndo jumba la sanaa Rafiki Wa kweli Wa mtaa gwiji chokoraa

chokoraa ni Khalid 2, na ana mapacha watatu, gwiji ni fareed tu, gwiji ww ni fyatu, thats nice but hata ukicheka huwag mr nice, kwny beat unaninyanyapaa, coz nasambaza ngoma moto, keyboard na gitaa nimewaachia watoto
 
Niite Papaa vina
Gwiji Wa mistari natema tindikali kila ngoma
Mwenge Wa mistari napita kila kijiji mpaka homa
Wasambazie habari kwamba gwiji Mimi ni noma
 
we una kandambili, me nna kanda tatu, nakukusanya we na yy kma pesa za upatu, nawachoresha kwenye jukwaa kma gazeti la udaku, mmepindaa eeh? me nimenyongorota, na kma mmedata mirembe ndo hpa

Mirembe? Oh men u dn't deserve be in Jf we are great thnker,
hizo swaga zako peleka twitter,
braza mi ni incredible mc dat's y nakubalika,
we ni gza braza hapa mwanga utaumbuka,
 
Mirembe? Oh men u dn't deserve be in Jf we are great thnker,
hizo swaga zako peleka twitter,
braza mi ni incredible mc dat's y nakubalika,
we ni gza braza hapa mwanga utaumbuka,

Ohh men toka great Thinker, instagram na twitter, kp ni big data chalii nakufunika, na dumu kuliko chama tawala, mkuu nakurejesha chekechea mbagala, unalala nakesha macho, ukizingua Unavunjwa taya kwa hii nako
 
Yah yah yah ubabe kafanya undertaker,
kuwa mpole nahs rhymes zangu zimekushika,
naleta mabadiliko popote ninaposikika,
so hii nd'o self defence kama NATO ya America,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom