i fall in love with you name,
tinnacute
plz mfanye dada yako aniite shem ,wengine nitawapa vibuti,
ntakuwa nawe kila sehem,kama chadema na kaki.
So please be mine,moyo wangu utatulia
kwangu unathamani zaidi ya iphone,wengine nawaona nokia
together we gonna fly,wachawi wakimbia
mapenzi yangu kwako hayatakuwa siri kama ya diamond na wema..
So please njoo nikuvishe pete we ndo chanda chema
mapenzi yangu kwako hayaelezeki kama zito na kigoma
tuko pamoja hata tukitembea wewe mbele mimi nyuma
wachawi, wanafiki roho zitaenedela kuwauma,
nitakupenda daima, kama wasichana wanavyopenda game la zuma...