Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Haha. Mtajisumbua tu. Hakuna kabisa.Teh tulia tunakutafutia wa level yako
Haha. Mtajisumbua tu. Hakuna kabisa.Teh tulia tunakutafutia wa level yako
Yo Yo yo😀
Mimi ni msela siwezi kwenda jela yo Yo😜
Na ukienda jela unakuja na mahela
...
Naruka tikitaka mademu wanitaka hahahahahah😂😂
Upiversity kama vipi njoo, tuonyeshe unaweza nini/
Sio kila siku tu majivuno, ilhali uwezo una uwalakini/
Kaboom nipe yangu tuzo, leo nashuka kwa kiswahili/
Kughani ndio yangu nguzo, kivipi heshima sistahili?
Dah! Kwisha habari. Hii thread ifungwe tu. First ever, in kiswahili.
Naruka tikitaka mademu wanitaka hahahahahah
hahahahahaha....na wewe huwataki,unakula mishikaki!
hahahahahahaha...acha ncheke kimyakimya!..naona vilaza mnataka jina.,mtu mzima nalinda heshima!
Umeniita baba la baba!!??...son,hupata mwingi msiba,mtaka nyingi nasaba!
Natupa jiwe alqaaba!
Hata pia kenge wamo, kwenye msafara wa mamba/
Ni fika hujaelewa somo, rap ni zaidi ya kujigamba/
Umefikia wako ukomo, kilichobaki kujiliwaza/
Beti zimekosa mpangilio, hata kuandika ni tabu Brother?
Hahaha. Kubali yaishe aisee.
Naruka tikitaka mademu wanitaka hahahahahah
hahahahahaha....na wewe huwataki,unakula mishikaki!
Dhiki na shida mawazo lukuki,sina hamu wamekimbia Ndugu marafiki/nasota mwenyewe na hii tawala nduli,kuli natwishwa mizigo na hii ngili/kipato hakitoshi,majukumu lukuki nina mwaliko sina suti/sijui lini hii siku isio na jina,sijui nini ni bora kwa hivi vina/word up
Aina noma mwamba atajipanga/haba na haba hujaza kibaba,mambo mkangaja huenda yakaja/jifunze kupitia Mimi/pata elimu zote kupitia hii ndimi/sijui nilini ila siku nimoja Tu/nichague Mimi nikupatie japo kimoja Tu/word up
Komandoo kama Hamza, usimwamshe ambaye kalala/
Ni busara za wahenga, mwenye hekima hujifunza/
Wanasema elimu kwanza, ila zote ni propaganda/
Sahau magamba na gwanda, hebu fikiria utaifa kwanza/