Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

bado wadogo kimistari, still mnataka battle //level zangu mi hatari, wacha tu niwape za uso

Wacha manguri si tuandike, kilaza kaa pembeni //rudi kwenu ukatambike, mizimu ikuingie akilini

Amini mi ndo mchwa, tena mwenye hasira //ninaye kula...... , Bila kutumia mpira
 
Upiversity kama vipi njoo, tuonyeshe unaweza nini/
Sio kila siku tu majivuno, ilhali uwezo una uwalakini/
Kaboom nipe yangu tuzo, leo nashuka kwa kiswahili/
Kughani ndio yangu nguzo, kivipi heshima sistahili?

Dah! Kwisha habari. Hii thread ifungwe tu. First ever, in kiswahili.

Bro sikuwezi..Bilingual master..Shindana na wengine
 
Last edited by a moderator:
Kwa lugha maridhawa nanena nikijiamini,
Foreigner mtachana nini, nyembe zote ninazo mimi.
 
yoo yoo kama kawa kama dawa,

Wadau mpo sawa
Hizi era za ukawa

Peopless powerrrr
Baada ya salamu twende sawa

Kama kawa kama dawa,mzazi niko sawa...
Ukawa hakuna kitu,mwaka huu mnanawa...

People's power ilikuwa zamani,now pesa inaongea/
Chadema sina nayo imani,nahisi imenunuliwa/
Nilikuwa naikubali zamani,mwaka huu wamezingua/
 
I was born poor //i will die rich for sure

Waambie bado naimani na ukawa //coz tz inaumwa na sis ndo wenye dawa
 
Swags zangu za jana leo ndo ukali wao //wanani dis kwa lines kipenzi cha madada zao

Do you think am cool? you don't know men //never test the king you can get shame
 
Dada asikupende vipi, shosti wake unayemletea umbea//
Unajisifu kwa kipi, mshukuru shemeji anayekulea//

Nitapata shame vipi, mimi natunga kipindi unaitwa mimba//
Huwezi tutisha kwa yes and this we mtoto wa Ras Simba//
 
mimi ndo yule mentali, ninaye kufunya we uongee //usiku dada yako halali, ananiwaza pedeshee

japo baba yako hataki, mi namega kisela aisee//mtoto nampa fataki,ila mpe pole mzee
 
Dogo unapenda SIFA, jiite Kopa maana Dully ni Dhahabu/
Kwa hayo Mashauzi yasiyo-ISHA nenda kaimbe Taarabu.

Kila kitu sister sister mpuuzi funga mdomo,
Huwezi aibika JF yote inajua demu wako mkono.
 
Wakuja rhymes zangu mi ni pesa, inayo hubiriwa na mzee wa upako //ukitaka drive verosa, basi nisome upate ujiko

vipi sasa mkuu mbona ka umepanic? , nilikwambia mi si level zako //au ndo unatafuta kick, upate sifa kwa demu wako

kumbuka mi ni dhambi ya mwisho, iliyo andikwa kwenye msaafu // huwezi nikwepa we bishoo , chlorine gas ni level chafu
 
Ha ha ha daaah
 
Wewe mkali jombaa natamani nikujue
 
Mipasho na majigambo ya humu,

Kama wacheza cha ndimu,

Leteni michano ya hamu,

Watu watoe salute na salamu,

Halafu mmejitoa fahamu,

Kila mtu anajiona mtalaamu,

Kumbe nyote cha mtoto kwenye gemu,

Nimekuja kuchukua hatamu,

Maana mmeshindwa majukumu,

Ya kutoa mistari yenye elimu.
 
Mipasho na majigambo ya humu,

Kama wacheza cha ndimu,

Leteni michano ya hamu,

Watu watoe salute na salamu,

Halafu mmejitoa fahamu,

Kila mtu anajiona mtalaamu,

Kumbe nyote cha mtoto kwenye gemu,

Nimekuja kuchukua hatamu,

Maana mmeshindwa majukumu,

Ya kutoa mistari yenye elimu.

kwanza kula tano, karibu kwenye michano //una usongo hakuna mfano, ka mvua za elinino

Hapa hakuna promo, ka show za hip hop //ngoja utumike bro, ka bundle za ku surf

Hip hop ni darasa, you better know raimundo //Kama quiz inahitaji desa, kilaza umejaza uvundo

Tofauti inaongea, ka masaburi na kubenea //the world is not fair, jiulize why Dr slaa kapotea

Never Cross ma way, napiga tu huwa siongei//je unapenda starehe za sugar ray, shituka siku hizi malaya wamepanda bei
 
Mipasho na majigambo ya humu,

Kama wacheza cha ndimu,

Leteni michano ya hamu,

Watu watoe salute na salamu,

Halafu mmejitoa fahamu,

Kila mtu anajiona mtalaamu,

Kumbe nyote cha mtoto kwenye gemu,

Nimekuja kuchukua hatamu,

Maana mmeshindwa majukumu,

Ya kutoa mistari yenye elimu.

Ha ha ha ha ha
 
kwanza kula tano, karibu kwenye michano //una usongo hakuna mfano, ka mvua za elinino

Hapa hakuna promo, ka show za hip hop //ngoja utumike bro, ka bundle za ku surf

Hip hop ni darasa, you better know raimundo //Kama quiz inahitaji desa, kilaza umejaza uvundo

Tofauti inaongea, ka masaburi na kubenea //the world is not fair, jiulize why Dr slaa kapotea

Never Cross ma way, napiga tu huwa siongei//je unapenda starehe za sugar ray, shituka siku hizi malaya wamepanda bei

Daaah una punchlines kali mkuu uko poa sna kaka chlorine gas
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom