Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

verses zangu ni quality based zako quantity based.. quality >>>>>quantity
 
Kuna mmoja kachanwa mpaka analia. Pole bro.. Nyie pasukeni tu. Ila angalieni msije kutoa hizo za kwenye madaftari yenu.
 
nimpigie kura nani? Au niharibu kura yangu? /
kuna lowasa, magufuli nani nimpe nchi yangu?naipenda tanzania hapa ndo nyumbani kwangu /
uchaguzi unawasiri mpiga kura kuwa jasiri, tusiipoteze hii amani tukajakuwa kama wamisri/
nakosa jibu nani nimpe kura yangu, nimezichoka ahadi alizoahidiwa babu yangu/
serikali za kirafiki, viongozi si ndugu zangu.. Wanachaguana wenyewe we utachaguliwa na nani mwanangu? /

kijana

maisha ya leo sio ya jana

leo ni muda wa kufanya la maana

viongozi wanataka kura yako

kwamba watabadili kesho yako

simama tazama siku zinayoyoma

kama utakwama jamii nzima itazama

na kama usipotazama wajukuu watalalama

kura yako moja ya ndio

inaweza kuondoa vilio

au tuwe wakimbiz kutafuta kimbilio

hapa nasema na kijana

kwa maana

hakuna anayepita

kwenye msoto wa kutafuta

kama kijana

round 2 to worldboss

bado naongelea uchaguzi

kwa kila uzi na ujuzi ni juu ya uchaguzi

ili tujue aina ya kiongozi

atakayekuja kutufuta machozi

sina maana ya kufanya ubaguzi

sasa nasema na kina mama

nyie wakinamama

mnajijua mnavyopenda kulalama

kama uchaguzi ukiwa si salama

nalia kwa huruma juu ya kina mama

sasa msije fanya makosa

chaguen kiongozi asiye watosa

msidanganywe na vipesa

baada ya kura akawatosa

heshima kwa mama

bado naamini mama

mwaka huu hamtapata lawama

hakuna sera mpya, sera zote zishasemwa/
anazosema lowasa, magufuli anazirudia tena/
bora tusiwe na raisi maana pesa zetu zitapona, kuliko kuwachagua hawa watu jamani noma/
wanafunzi kushindwa kusoma, kupata kazi wasomi noma/
bei za vitu kupanda kama mzawa inanichoma/
haya yote hawakuyaona?
Tumepitwa na kenya, tunazidi kuhenya... /
2015 wagombea wote minawatema//////

wakuu round 2 tayari kwa kila mmoja,sasa tusubiri kura za wajumbe..voters wakifika 20 tunahesabu kura na kupata mshindi mmoja atakayesonga mbele...wajumbe dondosheni kura zenu..
 
mbona nshatema vitu

mkuu umetema wapi

na saa ngapi

labda kwa mkwapi

mistari yako makapi

nakukaba kila angle

kila pengo nakukaza malengo

tupo round ya pili

nikuchape kwa mistar pilipili
 
ndio naanza hivyo,

yeah yeah yeah ,

every body say yooo,
yoooooo...

say kwi kwi kwi,
kwi kwi kwiii....

yeah yeah yeah yeeaah,

koh koh ... nitarudi tena
 
wanasema nipige kura/ wote naona watoto
kaka kipande nakupa kura/kidogo unayo changamoto

usiombe ukutane na mimi ntakuharibu sura/kwani zako verse bado ni za kitoto
 
Last edited by a moderator:
ndio naanza hivyo,

yeah yeah yeah ,

every body say yooo,
yoooooo...

say kwi kwi kwi,
kwi kwi kwiii....

yeah yeah yeah yeeaah,

koh koh ... nitarudi tena

Piga kura
 
nimpigie kura nani? Au niharibu kura yangu? /
kuna lowasa, magufuli nani nimpe nchi yangu?naipenda tanzania hapa ndo nyumbani kwangu /
uchaguzi unawasiri mpiga kura kuwa jasiri, tusiipoteze hii amani tukajakuwa kama wamisri/
nakosa jibu nani nimpe kura yangu, nimezichoka ahadi alizoahidiwa babu yangu/
serikali za kirafiki, viongozi si ndugu zangu.. Wanachaguana wenyewe we utachaguliwa na nani mwanangu? /

kijana

maisha ya leo sio ya jana

leo ni muda wa kufanya la maana

viongozi wanataka kura yako

kwamba watabadili kesho yako

simama tazama siku zinayoyoma

kama utakwama jamii nzima itazama

na kama usipotazama wajukuu watalalama

kura yako moja ya ndio

inaweza kuondoa vilio

au tuwe wakimbiz kutafuta kimbilio

hapa nasema na kijana

kwa maana

hakuna anayepita

kwenye msoto wa kutafuta

kama kijana

round 2 to worldboss

bado naongelea uchaguzi

kwa kila uzi na ujuzi ni juu ya uchaguzi

ili tujue aina ya kiongozi

atakayekuja kutufuta machozi

sina maana ya kufanya ubaguzi

sasa nasema na kina mama

nyie wakinamama

mnajijua mnavyopenda kulalama

kama uchaguzi ukiwa si salama

nalia kwa huruma juu ya kina mama

sasa msije fanya makosa

chaguen kiongozi asiye watosa

msidanganywe na vipesa

baada ya kura akawatosa

heshima kwa mama

bado naamini mama

mwaka huu hamtapata lawama
ISLETS Mentor Viol radiations AgentX tunahitaji kura zenu..nani katisha kati ya hawa wawili
 
Last edited by a moderator:
ndio naanza hivyo,

yeah yeah yeah ,

every body say yooo,
yoooooo...

say kwi kwi kwi,
kwi kwi kwiii....

yeah yeah yeah yeeaah,

koh koh ... nitarudi tena

Hahahaaaa aisee nimecheka sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom