Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

kwanini msitengeneze whatsapp group? itakuwa vizuri zaidi maana kuandika andika majanga
 
Mi mkare
nakupa vina simasivina mi hatare.
Ukizingua na kufua na kumenya kandizi mchare.
 
U

Bwanamdogo naitwa dabo

Umeniqoute! unatafuta tu trabo

Dogo Ntakunyonga
kitaan naitwa rambo

Ona Voko unaboronda
Chaa ajabu umejaa tambo

Jukwaani nadondoka
Wee unaona haya kirembo

Kisura umechuchuka
Nahisi umepigwa mtungo

Naona tu unapayuka
Minatembea na mdundo

Hii namba nyingine
Jaribu kwa maboya wengine

Ntakupiga kwenzi mpaka dogo ujikune
Kihesabu maswali majibu mimi ndo jipime

Kiukweli hauniwezi shiny c
Mkata viuno mkubwa zaid ya ray c

Mistari yako tasa wee hanisi
Ulikosa majina si ungejiita chainiz!

United street in Arusha yaani USA
Masela nawarusha hii sio BBA

LT kanipima nina hiphop DNA

Mitihani nimepita mpaka CPA

Freestyle master
Legendary wa rymes kaa buster

Mi ni profesor kama Jay

Sigawi nyuma kama gay

KiLowasa ccm hawaongei

Najaza nyomi mpaka inamtisha jeikei
shiny c hapa ndo umefika
fulu gwanda ka mbowe akiwa ufipa

Kila kona nakubalika
Jf mpaka fb kote nainstrgramika

Pesa ndo sauti ya kila rika
Maisha kugaramika

Bila pesa beyonce asingekua na jiga?
Nami nazisaka nimng'oe miss chagga

Cc😡miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Teh teh..Mkuu jibu mapigo..We ulitaka mtu..huyo hapo amekuja sasa

Ame log off
Kakutana na emc tafu

Au kaenda kupiga Pushups?
Pengine kunivutia kaenda kupiga make up!

Anachekesha
Sio siri anajichoresha

Jukwaa kalinogesha
Mara kidogo kajiondosha

Ni sawa na ameninyegesha
Alafu ameniacha nimesimamisha
 
Broh karibu kwenye ligi
Dabo nakufukuza kwenye mbigiri

Utadata
nyuma Nakupiga chata

Kimstri mi ngata
We Nyuma mpaka upigwe stata

utambwira worldboss
Fukara we ni false boss

MMM wape habari Kaboom mpaka Munkari

Stock ya mistari
Siyo chabo zako kwa daftari

Boss now umeingia loss
Za utoss mpaka utapull sokss

Bora ukimbie
Au baki ujipimie

Nakamia
Na nundu ya mistar kaa ngamia

Unaspeak nonsense
Hujui haumeki anysense

Rymes zangu expense...
Broken unachanganya past future tense

Skia huu ushindi ni wangu
Wee bora uende samakisamaki ukajiuze na machangu
mistari so weak mithiri ya miguu ya mpiga nyeto/
we ni mrembo kwenye rap, njoo home kwangu geto/
im the king acha ubishi coz mimi ni special /
naspit maneno yanatoka kama risasi, zangu shows na control, friend request na ignore/
naku-direct kama traffic, my style is so dynamic while yoko so static/
flow zangu zinavutika kama boxa yenye lastic/
this is the end of deformation.. sasa ushakuwa plastic/
 
Last edited by a moderator:
Ame log off
Kakutana na emc tafu

Au kaenda kupiga Pushups?
Pengine kunivutia kaenda kupiga make up!

Anachekesha
Sio siri anajichoresha

Jukwaa kalinogesha
Mara kidogo kajiondosha

Ni sawa na ameninyegesha
Alafu ameniacha nimesimamisha
hauwezi kushinda wala huwezi kunichana/
huwezi kupambana weni mkali kubishana/
swaga zangu pensi na fulani.. we kipedo chaku bana, umeniskia we kimwana? /
hahahah!!! bado=dabo
 
dabo worldboss
Wakuu kwa majigambo wote mko poa..Nashauri tuchague mada zen mbattle kwa topic..
 
Last edited by a moderator:
Alianza magnifico
Chini nikamkaba koo

Akafuata radiation
Now anapiga mastabation

Maskini kaka kipande
Popcorn sio makande

Kijaji kama chande
Boya nakugawa vipande

Mods mcheki boya
Ameanza matusi

Ntamla mpaka manyoya
Kisha nimpe virusi

Hiphop sio matusi
Au wee ni emc wa harusi?

Dogo nakuonya
Unaskia wee panya!

Ntakuvika kengelee
Upunguze kiherehere

Boxer nje umevaa mlegee
Swaga za kale kabla sjabalee

Hunitishi wee snitch mbichii
Kwa hii speech huniifichii

Mlaini zaidi ya parachichi
Sikufichi ntkutemea matapishi

Kwenye rap we mshamba
Vina huna unabaki jingamba

Emc feki
usawa wangu sifagilii

Vaa pedi
Unavuja damu kwani huangaliii

Sina wema
Sepetu linachimbua domo

Alale pema
Popote Peter kisumo

Kwenye Fani kitambo
Kabla ya hashimu dogo

Kiunoni mtambo
Sio muwa lete rambo

Mi uzito usiopimika
Dogo ukaka unajivika

Nmestick sitetereki
Spigiki schengeki

Uvae minskit stegeki
Kiukweli skwepeki

Mi ni zaid ya ngoma
Ukinisoma tu unahoma

Nyuma yako Nakuchoma
Wee Ivan mimi ROMA

Huwezi rap nenda twanga pepeta boi chunga ntakupwerepeta!

dabo wacha kugwaya

kubali kipande ni mmbaya

bila haya nakunyonga kama kaya

nakungoja nakuchonga kama viazi ulaya

umeshindwa kuhema

ni bado mapema,

unaanza kumuita mods

bado sijakuchamba

ushatokwa jasho jembamba

vipi nikijigamba kwa swag utajitia kamba

sikiliza broo

hapa hakuna droo

pili kubali kipande soo

kabla hujaomba poo

njoo kitaa nikupe doo

ipo serious kipande ni genius

toka class naitupa kwa wireless

legend kama nas

mmbaya kinotorious

huna ubaya nami na sina ubaya nawe

kama sisi wote ni mawe
dapo we kokoto kipande mi jabali
 
Last edited by a moderator:
dabo wacha kugwaya

kubali kipande ni mmbaya

bila haya nakunyonga kama kaya

nakungoja nakuchonga kama viazi ulaya

umeshindwa kuhema

ni bado mapema,

unaanza kumuita mods

bado sijakuchamba

ushatokwa jasho jembamba

vipi nikijigamba kwa swag utajitia kamba

sikiliza broo

hapa hakuna droo

pili kubali kipande soo

kabla hujaomba poo

njoo kitaa nikupe doo

ipo serious kipande ni genius

toka class naitupa kwa wireless

legend kama nas

mmbaya kinotorious

huna ubaya nami na sina ubaya nawe

kama sisi wote ni mawe
dapo we kokoto kipande mi jabali

Tulia mada inaletwa/
Andaa wembe tayari kukeketwa/
 
Last edited by a moderator:
dabo worldboss moja ya vitu vinavyomake headline kwa sasa ni UCHAGUZI..Kama mtaafiki nadhani hiyo ndo iwe topic kwa kuanzia..

Uwanja ni mpana..unaweza kuongelea chochote kinachogusa huko
 
Last edited by a moderator:
Hip Hop naijua Mimi na Kalapina,
Nyie WanaTaarabu mnachana bila Vina.

Chunga sana usipite anga zangu.
Maana nitakukamua, hiyo kichwa Ni Mali yangu.

Naiona Tanzania Tanzania ya Magufuli.
Tanzania ya Viwanda tutatengeneza Vitasa na Makufuli.

Nani mbabe Wa kilinge,
Nimpasue nimkate mbele akajiringe...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom