Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Poa wakuu..Inaenda hivi..Battle inakuwa ya mtu mbili....Kunakuwa na round 2..Coz hatuna time limit basi kila mshiriki atatakiwa kutoa 16 bars kwa kila round..zen baada ya round hizo kuisha,members wengine watakuja kuvote nani ni mshindi..Mshindi atasonga mbele..atakabidhiwa mtu mwingine wa kubattle nae..mwisho wa siku tutapata mshindi mmoja

dabo worldboss magnifico radiation kaka kipande Nje ya Mada MTAZAMO TIASSA Kiranga shiny c Viol junior.cux Na members wengine
 
Last edited by a moderator:
Hip Hop naijua Mimi na Kalapina,
Nyie WanaTaarabu mnachana bila Vina.

Chunga sana usipite anga zangu.
Maana nitakukamua, hiyo kichwa Ni Mali yangu.

Naiona Tanzania Tanzania ya Magufuli.
Tanzania ya Viwanda tutatengeneza Vitasa na Makufuli.

Nani mbabe Wa kilinge,
Nimpasue nimkate mbele akajiringe...

nje ya mada

kwanza wew ni kaka au dada

sio swali la kiwaki

ila bado natahamaki

kwamba utaiweza mikiki

kwa pupa umeingia

bila hodi unajisifia

hili chemba la wana watakupasua

sio kwamba nakupiga biti

hiki kiti cha wajuzi mabinti

hawapiti wala hawakati hapa
 
nimpigie kura nani? au niharibu kura yangu? /
kuna lowasa, magufuli nani nimpe nchi yangu?naipenda tanzania hapa ndo nyumbani kwangu /
uchaguzi unawasiri mpiga kura kuwa jasiri, tusiipoteze hii amani tukajakuwa kama wamisri/
nakosa jibu nani nimpe kura yangu, nimezichoka ahadi alizoahidiwa babu yangu/
serikali za kirafiki, viongozi si ndugu zangu.. wanachaguana wenyewe we utachaguliwa na nani mwanangu? /
 
Poa wakuu..Inaenda hivi..Battle inakuwa ya mtu mbili....Kunakuwa na round 2..Coz hatuna time limit basi kila mshiriki atatakiwa kutoa 16 bars kwa kila round..zen baada ya round hizo kuisha,members wengine watakuja kuvote nani ni mshindi..Mshindi atasonga mbele..atakabidhiwa mtu mwingine wa kubattle nae..mwisho wa siku tutapata mshindi mmoja

dabo worldboss magnifico radiation kaka kipande Nje ya Mada MTAZAMO TIASSA Kiranga shiny c Viol junior.cux Na members wengine

poa poa mkuu Kaboom

walete watoto niteme sumu

wote nawaona weupe

nahamu niwanyonye kama kupe
 
Poa wakuu..Inaenda hivi..Battle inakuwa ya mtu mbili....Kunakuwa na round 2..Coz hatuna time limit basi kila mshiriki atatakiwa kutoa 16 bars kwa kila round..zen baada ya round hizo kuisha,members wengine watakuja kuvote nani ni mshindi..Mshindi atasonga mbele..atakabidhiwa mtu mwingine wa kubattle nae..mwisho wa siku tutapata mshindi mmoja

dabo worldboss magnifico radiation kaka kipande Nje ya Mada MTAZAMO TIASSA Kiranga shiny c Viol junior.cux Na members wengine

Pamoja
 
Last edited by a moderator:
kura yangu kwa lowassa/ siwezi pigia fisi

mnaojiita wakali njoni hapa natakasa/ukawa ndo baba lao muuliize mfilisti

worldboss kitu gani me ndo naumba pesa/ njoo kwangu nikuajili uache kuvuta vipisi

magufuli kitu gani/ naona analeta masihara

Kazi watafanya wajapani/ bongo twataka mishara

anayetaka bifu amguse radiation/ nimfanye kua hawara
 
Last edited by a moderator:
nimpigie kura nani? au niharibu kura yangu? /
kuna lowasa, magufuli nani nimpe nchi yangu?naipenda tanzania hapa ndo nyumbani kwangu /
uchaguzi unawasiri mpiga kura kuwa jasiri, tusiipoteze hii amani tukajakuwa kama wamisri/
nakosa jibu nani nimpe kura yangu, nimezichoka ahadi alizoahidiwa babu yangu/
serikali za kirafiki, viongozi si ndugu zangu.. wanachaguana wenyewe we utachaguliwa na nani mwanangu? /
kaka kipande unabattle na worldboss..Ye kashaanza hapa..M-quote zen shusha nondo zako

Members wengine tupite kuangalia zen baadae tuchague mshindi atakayesonga mbele
 
Last edited by a moderator:
kijana

maisha ya leo sio ya jana

leo ni muda wa kufanya la maana

viongozi wanataka kura yako

kwamba watabadili kesho yako

simama tazama siku zinayoyoma

kama utakwama jamii nzima itazama

na kama usipotazama wajukuu watalalama

kura yako moja ya ndio

inaweza kuondoa vilio

au tuwe wakimbiz kutafuta kimbilio

hapa nasema na kijana

kwa maana

hakuna anayepita

kwenye msoto wa kutafuta

kama kijana
 
nimpigie kura nani? au niharibu kura yangu? /
kuna lowasa, magufuli nani nimpe nchi yangu?naipenda tanzania hapa ndo nyumbani kwangu /
uchaguzi unawasiri mpiga kura kuwa jasiri, tusiipoteze hii amani tukajakuwa kama wamisri/
nakosa jibu nani nimpe kura yangu, nimezichoka ahadi alizoahidiwa babu yangu/
serikali za kirafiki, viongozi si ndugu zangu.. wanachaguana wenyewe we utachaguliwa na nani mwanangu? /

kijana

maisha ya leo sio ya jana

leo ni muda wa kufanya la maana

viongozi wanataka kura yako

kwamba watabadili kesho yako

simama tazama siku zinayoyoma

kama utakwama jamii nzima itazama

na kama usipotazama wajukuu watalalama

kura yako moja ya ndio

inaweza kuondoa vilio

au tuwe wakimbiz kutafuta kimbilio

hapa nasema na kijana

kwa maana

hakuna anayepita

kwenye msoto wa kutafuta

kama kijana

1st round..there we go for the 2nd round worldboss vs @ kaka kipande

Nafasi ya worldboss now kutupa karata yake ya pili
 
Last edited by a moderator:
nimpigie kura nani? au niharibu kura yangu? /
kuna lowasa, magufuli nani nimpe nchi yangu?naipenda tanzania hapa ndo nyumbani kwangu /
uchaguzi unawasiri mpiga kura kuwa jasiri, tusiipoteze hii amani tukajakuwa kama wamisri/
nakosa jibu nani nimpe kura yangu, nimezichoka ahadi alizoahidiwa babu yangu/
serikali za kirafiki, viongozi si ndugu zangu.. wanachaguana wenyewe we utachaguliwa na nani mwanangu? /

kijana

maisha ya leo sio ya jana

leo ni muda wa kufanya la maana

viongozi wanataka kura yako

kwamba watabadili kesho yako

simama tazama siku zinayoyoma

kama utakwama jamii nzima itazama

na kama usipotazama wajukuu watalalama

kura yako moja ya ndio

inaweza kuondoa vilio

au tuwe wakimbiz kutafuta kimbilio

hapa nasema na kijana

kwa maana

hakuna anayepita

kwenye msoto wa kutafuta

kama kijana
 
I make beats. People kill time.... I kill beats. Whats up yo fams?
 
round 2 to worldboss

bado naongelea uchaguzi

kwa kila uzi na ujuzi ni juu ya uchaguzi

ili tujue aina ya kiongozi

atakayekuja kutufuta machozi

sina maana ya kufanya ubaguzi

sasa nasema na kina mama

nyie wakinamama

mnajijua mnavyopenda kulalama

kama uchaguzi ukiwa si salama

nalia kwa huruma juu ya kina mama

sasa msije fanya makosa

chaguen kiongozi asiye watosa

msidanganywe na vipesa

baada ya kura akawatosa

heshima kwa mama

bado naamini mama

mwaka huu hamtapata lawama
 
hakuna sera mpya, sera zote zishasemwa/
anazosema lowasa, magufuli anazirudia tena/
bora tusiwe na raisi maana pesa zetu zitapona, kuliko kuwachagua hawa watu jamani noma/
wanafunzi kushindwa kusoma, kupata kazi wasomi noma/
bei za vitu kupanda kama mzawa inanichoma/
haya yote hawakuyaona?
tumepitwa na kenya, tunazidi kuhenya... /
2015 wagombea wote minawatema//////
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom