Hata wao sasa hivi wanaangalia tbc chereko.Hawa mbwa mashabiki wa maccm wanadhani wanakomoa wapinzani wkt watz wote wataumia
Sasa watoto wangu wanafurahia TV maana wao walipenda sana channel za vikatuniYaani ni mateso. Seblen hata hapavutii. TV haina kinachovutia
kama mimi mkuu, zaid zaid niweke magic one niangalie mziki.Mi nina cha Azam, nimebaki naangalia wanyama NatGeo! Na hivi wanangu wanatulia naona powa tu
Kumbe kweli kutesa kwa zamu! Waache tu waburudikeSasa watoto wangu wanafurahia TV maana wao walipenda sana channel za vikatuni
Hivi mtu ukitaka kuziona zilizofutwa (eg ITV, Clouds TV, Chanel 10, Star TV na nyinginezo) nifanye nini? MaanaAsanteni sana wahusika.
Sisi wenye dstv inabidi tuangalie chefeko chereko la sivyo tuangalie wakata viuno sound city.
Au wacheza uchi sound city
Tunashukuru
Love bKaribu Ambiele. wageni ni baraka kwetu
Sio hivyo mkuuKwa Mujibu wa sheria zilizopo mmiliki wa King'amuzi Ana hiyari Ni channel zipi ziwepo kwenye King'amuzi chake Na zipi zisiwepo lakin ulizochagua ziwepo Ni lazima Uzioneshe Hata Kama wateja wako hawajalipia
Wamiliki wa ving'amuzi wameamua kumwaga mboga Kwa kutoa local channel karibia zote Baada ya TCRA kuwalazimsha waoneshe bure Na Azam kuzuia kuonesha Habari Kwa Kuwa Sio maudhui waliyosajiliwa nao
Waziri kakurupuka Eti wawarudishie pesa zao wateja
Mkataba wa mteja Na king'amuzi ni Kwa zile channel Za kulipia Na Bado zinaoneshwa Wao wamezitoa Za bure iweje warudishe pesa
TCRA inabidi wakae mezani Kama wanataka suluhu Sio kutoa Amri
Vipi?Love b
Nimecheka mimi jaman!!!TBC lipo aisee Mkuu the butcher,
Ikifika saa mbili usiku mke wangu analifungulia TBC taarifa ya habari huku katenga chakula sitting room nashindwa hata kwenda kulia chakula chumbanii,nabakia tu kumtizama Jiwe na fisiem yake wanavyoBore.Huwa sipendi ugomvi kipindi cha kukaribia kulala nisije ibua mambo mengine inabidi tu nitulie😡😡😡
Wanainusuru ccm kwa kulazimishwa kuangalia channel moja,naona manunuzi hayajaleta tija kupandisha 100%.Ukisomesha no wenzio,itakuwa zamu yako kuisoma.Ving'amuzi vyoteee wameondoka channel za ndan km ITV, Channel10, startv, cloudstv, tve, eatv etc lakin cha AJABU channel ya TBC haijaondolewa. Sas hii tbc ni channel ya nje au ndo kulazimishana kuangalia taarifa ya habar tbc?
Yale madish ya kina gulf,elsat sijui Kama yapo connect baada ya soko lao kusua wanaweza wakawa walishafunga connection, wenye Duka wanamalizia tu stock zao labda.Wengi wetu tulitupilia mbali yale madishi makubwa, ni wakati muafaka wa kuyarejesha kwa ajili ya local channels. Mimi nina king,amuzi cha Azam na dish kubwa kwa ajili ya local channels. Sikujua kama kuna mgogoro huo hadi nilipoiona via Taarifa ya habari ya ITV. Ukiambiwa kitu changanya na zako. Mlipoambiwa analogia tupa kule mkatupa na madishi.