Muda hii nchi nzima inaangalia Chereko-chereko TBC

Hivi hii nchi mbona ina drama nyingi yaani narudi home nawasha TV nakuta TBC tu kwanza siangaliagi TBC pili nimelipia juzi tu channel zote muhimu hazipo natumia startimes dish nawapigia namba zao ziko bussy
 
Mkuu hivi kumbe kuna mda unakuwa unajielewa hivi? Lumumba wote wangekuwa kama wewe ujinga usinge kuwepo.
Lkn ukweli ni kuwa hata viongozi umarufu wao utashuka sana maana watu wengi hawata fatilia taarifa za habari hususani kupitia TBC1.
Startimea huku Mbeya ni majanga matupu
 
Haha asijielewe mchezo?

Karudi home kakuta chereko chereko lazima akili zimkae sawa.
 
Hivi wa kulaumiwa ni nani kwa hili..!??

Kwa maana TV zote hizo huko leo hakuna kazi na vituo vimefungwa.!?

Em nielewesheni wakuu..sielewi.

Na hatima ya hili nini!??
 
Hiyo copy & paste acha kumpa sifa zisizomuhusu nzi wa kijan wengi ni miili tembo akili ubongo wa sisimizi
 
Hivi hii nchi mbona ina drama nyingi yaani narudi home nawasha TV nakuta TBC tu kwanza siangaliagi TBC pili nimelipia juzi tu channel zote muhimu hazipo natumia startimes dish nawapigia namba zao ziko bussy
Tumeipenda wenyewe ngweeee [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] CCM
 
Asanteni sana wahusika.
Sisi wenye dstv inabidi tuangalie chefeko chereko la sivyo tuangalie wakata viuno sound city.
Au wacheza uchi sound city
Tunashukuru
Mkuu dstv ina channel nyingi sema tu unapenda chereko
Mimi nilikua naangalia channel namba 114 , 139 kuna vipindi vikali tu muda huo wewe unaangalia chereko[emoji23]
 
Mkuu dstv ina channel nyingi sema tu unapenda chereko
Mimi nilikua naangalia channel namba 114 , 139 kuna vipindi vikali tu muda huo wewe unaangalia chereko[emoji23]
Sasa si bora ningenunua ki’gamuzi cha sudani
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…