Mubarak's out

Kama ndivyo basi we are likely to see a new Misri ikiongozwa na chama chenye msimamo mkali
 
Viongozi wa Africa amkeni na kutetea maslahi ya wananchi wenu, angalia sasa yaliyomkuta Hosni Mubarak ni aibu tupu, wachana na nguvu ya uma bwana!
Na alichoharibu zaidi ni pale alipokuwa anajaribu kumuandaa mtoto wake ili ashike madaraka baada ya yeye kustaafu
 
kama kawaida yao kimbilio ni Saudia...hili dege litatua lini hapa linasubiriwa kwa hamu!!

and why is Saudi Arabia? wanaendaga huko ili wahiji na kusamehewa dhambi au kuficha mali zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…