Jamani si mngengojea pombe zitoke kichwani ndipo mje humu? sasa hata sijui ni kitu gani umepost humu!
Pumba tupu!!!!
nina wasiwasi na source c reliable niko live na sky news na cnn...hakuna kitu kama hicho hata kwenye tetesi jamaa yupo misri bado till further habari...lets wait hotuba yake..
Hizo source zako hazina tofauti na Tanzania Daima, au Mwanahalisi! Mubarak yuko Misri na atahutubia Taifa usiku huu huenda akaachia madaraka kwa mujibu wa Katibu mkuu wa chama tawala cha Misri! na sasa naangalia live Aljazeera English hakuna hicho unachokipakazia! angalia hapa: Al Jazeera English: Live Stream - Watch Now - Al Jazeera English
Na hii issue haina uhusiano wowote na TZ! sisi tunayo Serikali iliyochaguliwa na Wananchi na sio haki kulinganisha Utawala wa Egypt chini ya Hosni Mubarak alie tawala nchi hiyo miaka zaidi ya 30 sasa!
Sisi katiba yetu hairuhusu Rais kutawala zaidi ya miaka 10! na nchi yetu ni ya vyama vingi sio kama Egypt huko hakuna demokrasia wala uhuru wa vyombo vya habari! TZ uhuru huo upo ndio maana magazeti kama Mwanahalisi yanaweza kumuita Rais Jakaya kuwa ni mwizi na fisadi!
Hivyo msichanganye mambo! h
naangalia aljazeera now na rais mubaraka anatarajiwa kuongea na taifa soon, au ataongelea akiwa London, nina wasiwasi na source yako
hizo source zako hazina tofauti na tanzania daima, au mwanahalisi! Mubarak yuko misri na atahutubia taifa usiku huu huenda akaachia madaraka kwa mujibu wa katibu mkuu wa chama tawala cha misri! Na sasa naangalia live aljazeera english hakuna hicho unachokipakazia! Angalia hapa: al jazeera english: Live stream - watch now - al jazeera english
na hii issue haina uhusiano wowote na tz! Sisi tunayo serikali iliyochaguliwa na wananchi na sio haki kulinganisha utawala wa egypt chini ya hosni mubarak alie tawala nchi hiyo miaka zaidi ya 30 sasa!
Sisi katiba yetu hairuhusu rais kutawala zaidi ya miaka 10! Na nchi yetu ni ya vyama vingi sio kama egypt huko hakuna demokrasia wala uhuru wa vyombo vya habari! Tz uhuru huo upo ndio maana magazeti kama mwanahalisi yanaweza kumuita rais jakaya kuwa ni mwizi na fisadi!
Hivyo msichanganye mambo! H
Ndio maana chama tawala hawatoi kipaumbele kwenye elimu,asilimia kubwa ya wananchi wa Eypt wana elimu ya juu.Nikipata muda nitakuletea source na namba kamili.Wananchi wajinga hawawezi kufanya mapinduzi.Upepo huo kuvuka sahara ni kazi sana. Shida ni moja tu: Weusi tuko waoga sana kwa mabomu na bunduki. Tunaona afadhali tuwe hai lakini tuteseke, ikiwezekana tufe na mateso hayo kuliko kuwakabili viongozi wabovu.
Ndio maana chama tawala hawatoi kipaumbele kwenye elimu,asilimia kubwa ya wananchi wa Eypt wana elimu ya juu.Nikipata muda nitakuletea source na namba kamili.Wananchi wajinga hawawezi kufanya mapinduzi.