Mubarak chini ya ulinzi!

Mubarak chini ya ulinzi!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,027
Reaction score
20,518
Mubarak atiwa kizuizini kwa siku 15: Mwendesha mashtaka wa Misri ameamuru kutiwa kizuizini kwa Bw Mubarak, kabla... http://bbc.in/fi4x8o
 
Ni vema wale wote wanafikiria kuwa fedha ni kila kitu wakajifunza kwa Mubarak, yeye anasemekana ni mtu wa pili tajiri duniani, akikadiriwa kuwa na utajiri upatao dola za marekani 53 bilioni; kwa kiwango hicho cha utajiri anasemekana kumzidi Billgates mwenye utajiri wa dola za marekani 52 bilioni. Pamoja na utajiri huo, hivi sasa mguu wake mmoja huko uraiani na mwingine jera.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom