Mubarak apanga mabegi kukimbia nchi

Mubarak apanga mabegi kukimbia nchi

Wikiliki

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
528
Reaction score
141
Wakati maandamano na vurugu za MAFARAO kutaka Rais Mubarak wa misri ajiuzulu,jioni hii kwa mara ya kwanza tangu awe raisi ameteua makamu wa rais ,Omar Suleiman na kumwapisha na kuanza kazi mara moja. Source ALJAZEERA LIVE. Ni mbinu ya kumwachia madaraka.
 
Watanzania bado hatujapata shida ndo maana msimamo wetu ni legelege.
 
Tu waoga sana. hata kutoa madaraka mwenyekiti wa mtaa ni shida tutafikaje kwa Rais?
Ila kama mambo yataenda hivi some years down the line watu wataingia streets kwa sana.
 
Tu waoga sana. hata kutoa madaraka mwenyekiti wa mtaa ni shida tutafikaje kwa Rais?
Ila kama mambo yataenda hivi some years down the line watu wataingia streets kwa sana.

Kukicha tutaamka tu wandugu, si mnajua bado ni saa 10 alfajiri? Ngoja tuendekee kuvuta mashuka tuendelee kumalizia usingizi!
 
Back
Top Bottom