Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Last edited by a moderator:
wajinga mtaandika sana kama imewauma sana zito mchukueni wanafiki wakubwa chadema tupo makini daima tutawafukuza vibaraka wa ccm wote ha ha chezea chadema wewe..
 
hasafishiki hata umsafishe na magadi hata mngesema chama hiki ni cha watu hata km wewe una mama mkwe wako ,demu wako,mumeo,shemeji,babu ,bibi,kasoro gays km wana sifa let them come...peoplesssssssssssssssssssssss poweeerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrsssssssssssssssssssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Usawa ni sehemu ya Demokrasia...
 
Kitila alirisk ajira yake kwa ajili ya Chadema. Leo anaonekana hana thamani kwa sababu kuna watu wanadhani mafanikio yameshapatikana!

Kutokana na maelezo yako yaliyoanzisha majadiliano haya,, mafanikio waliyoyataka yamepatikana
 
wajinga mtaandika sana kama imewauma sana zito mchukueni wanafiki wakubwa chadema tupo makini daima tutawafukuza vibaraka wa ccm wote ha ha chezea chadema wewe..

na wewe unalipwa na nani wenzio wanamkataba.baada ya siku 14 wanavuta mawe. Au unafata upepo.
 
Mimi kama nimekuelewa fulan hivi ila ngoja tuone mwisho wa hii move.
 
Nilimwamini sana zitto sikujua kama naye Ana akili fupi mamna hii.... zitto utajutia sana muda ulouchezea ukiwa chadema na mateso uliyowapa voongozi wenzio,,,, dharau ya hali ya juu uliyoionyesha ,, ukidhani bila wewe chadema itakufa,,mind u opportunity never come twice. Haijalishi una pesa nyingi kiasi gani status yako ndo ilikuwa inamatter sana... UTAJUTA
 
Hii movie ndio kwanza inaanza. Unaweza kudhani Zitto ndio wa kujuta lakini mwisho ukaona matokeo tofauti kabisa.
 
Ze marcopolo huna jipya.. nenda kajipange upya na hao mambulula wenzio wanakusupport utafikiri kuna wanachokijua.. mtasema sana chama ndo kinazidi kuvua magamba na kuendelea kuvaa magwanda
 
Haya ndiyo matatizo ya Waafrika wengi,wakishaingia madarakani kutoka inakuwa ngumu,inawezekana hawa viongozi wa cdm wakiingia madarakani watabadili katika ili kusiwe na ukomo wa uongozi.
Kosa kubwa la Zitto ni kutangaza nia yake ya kutaka kuwa kiongozi mkuu wa cdm ,wakati wenye chama hawataki.
Vingine vyote vitasemwa lakini kiini ni kwamba Mbowe bado anataka kuendelea kuwa mwenyekiti kinyume na katiba ambayo yeye ndiye msimamizi mkuu.
 
Sasa nimejua kwanini Godbless J Lema alimpiga mwigamba na tofali zito na akaachwa utafikiri ametekeleza sera ya chadema.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom