Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Haya ndiyo matatizo ya Waafrika wengi,wakishaingia madarakani kutoka inakuwa ngumu,inawezekana hawa viongozi wa cdm wakiingia madarakani watabadili katika ili kusiwe na ukomo wa uongozi.
Kosa kubwa la Zitto ni kutangaza nia yake ya kutaka kuwa kiongozi mkuu wa cdm ,wakati wenye chama hawataki.
Vingine vyote vitasemwa lakini kiini ni kwamba Mbowe bado anataka kuendelea kuwa mwenyekiti kinyume na katiba ambayo yeye ndiye msimamizi mkuu.

Ni kweli. Ndio maana hata Chacha Wangwe alionekana adui baada ya kutangaza nia ya kugombea Uenyekiti. Baadae aliuawa katika mazingira ya ajabu.

Cc Chabruma
 
Last edited by a moderator:
Sasa nimejua kwanini Godbless J Lema alimpiga mwigamba na tofali zito na akaachwa utafikiri ametekeleza sera ya chadema.

Lema hawezi kuguswa kwa sababu ni kijana wa Mtei.

Arfi katika barua yake ya kujiuzuru amesema hauingi mkono Mzee Mtei kuichagulia Chadema viongozi.

Vikao vya Chadema vinakaa kupitisha tu maamuzi ya Mtei aliyofanya shambani kwake Tengeru. Kila anayehoji maamuzi hayo anaonekana ni msaliti.
 
Wewe mburula wa bk 7 hiyo operation huitwa REMOVAL OF BLOOD CLOT FROM YOUR BRAIN!!!!

Hahahahahahahahahahaha akili za Bavicha hizi.

Btw, be informed kwamba terminus technicus ya blood clost ni thrombus and its removal is thrombectomy or thrombolysis.
 
wajinga mtaandika sana kama imewauma sana zito mchukueni wanafiki wakubwa chadema tupo makini daima tutawafukuza vibaraka wa ccm wote ha ha chezea chadema wewe..

Dr. Slaa amepewa adhabu gani kwa

1. kujikopesha pesa za ruzuku kwa matumizi yake binafsi?

2. Kumlipa Josephine Mushumbusi mamilioni kwa kazi anayooita ya kujitolea?

3. Kutumia rasilimali za chama kumtuma Josephine Mushumbusi kujenga mtandao wa Slaa mikoani?

Adhabu Chadema zinatolewa kwa mafungu. Hivi mnadhani Josephine Mushumbusi alikuwa anazunguka mikoani bila kuwa na mkakati ulioandaliwa maalum na timu ya watu?

Ushahidi: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-akihutubia-singida-mjini-12.html#post7894988

Cc Ritz chama Paul S.S Tanganyika
 
Asante Mkuu ZeMarcopolo kwa uchambuzi uliopitia viwango stahiki. Zitto na Kitila , kosa lao ni kusimamia misingi ya ukweli ambayo walaghai hawaikubali.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo operation inaitwaje?

mkuu nimeisoma thread yako,kifup ipo wazi mno kuwa huipend CHADEMA..na mtu akijua humpendi hata ukijaribu kumshauri ushauri mzuri hakubaliani nao ni kupoteza muda..!! PIA umeonesha CDM inaendeshwa na ndugu..,acha uchama pemben (kama unaweza),.mi naona kupeana vyeo kindugu ni janga la kitaifa sio CDM tu..kuiona chadema pekee ndo UDHAIFU wa thread hii Mkuu..,
 
  • Thanks
Reactions: Ike
Kitila kila wiki alikuwa anafanya makongamano ya vijana pale Mlimani leo kaambia alipewa rushwa ya laki mbili na CCM kukisaliti chama.

Chadema ni mali ya Mtei, wengine wote ni vibaraka.
 
Mzee Edwin Mtei ni muasisi na mmiliki wa Chadema.

Godbless Lema ni kijana wa Mtei.

Freeman Mbowe ni mkwe mpwa wa Mtei. Yaani huyu ana ukaribu na Mtei kama mme wa binti yake, lakini pia anamuita Mtei mjomba.

Godbless Lema na Mbowe ni marafiki wa karibu na ni binamu wa mbali - 6th cousins.

Uwepo wa Lema na Mbowe kwenye nafasi za juu za maamuzi ndani ya Chadema ndio kitu pekee kinachomfanya Mtei atulie shambani kwake Tengeru bila hofu. Anajua Chadema bado iko mikononi mwake. Maamuzi yote yanafanyika Tengeru halafu vikao vinakaa kuyapitisha tu.

Baada ya kijana wa Mtei, Godbless Lema kumshambulia mitandaoni mbunge mashuhuri kuliko wote Tanzania - Zitto Kabwe, ililazimika ajibiwe.

Baada ya Lema kujibiwa, ikaonekana hana hoja na momentum ikawa upande wa Zitto. Jambo hili limemsononesha sana Mtei na kumtia hasira. Pia imempa Mtei hofu kuu kuona kwamba upo uwezekano wa wanachama kukichukua chama kutoka mikononi mwake! Kutoka Tengeru chadema ingepelekwa matawini. Jambo hili Mtei ameshindwa kulivumilia.

Zitto alianza kushutumiwa na Chadema alipotangaza kugombea uenyekitu katika uchaguzi uliopita. Kabla ya hapo alionekana ni mtumishi mwema, alisifiwa na kupigiwa makofi anapoongea. Kosa lake lilikuwa kuhatarisha nafasi ya mkwe mpwa wa Mtei, Mbowe.

Zitto ameadhibiwa kwa kupinga maneno ya Lema kwenye mitandao. Pamoja na kwamba Zitto ni kiongozi wa Lema, lakini Lema ni more insider than Zitto in today's Chadema.

Kitila Mkumbo alitumiwa na Mzee Mtei kubadilisha matokeo ya viti maalum ili mabinti wa Mtei, Ndesamburo na wengine wanaowataka wapate Ubunge. Yeye Kitila hakuingiza mtu yeyote wake. Kura zilizopigwa na wajumbe zikafutwa na wabunge wakateuliea kwa kufuata vigezo vilivyotengenezwa kwa umakini wa hali ya juu na Kitila Mkumbo. Alichotaka Mtei kikafanikiwa.

Kosa la Kitila ni kumsema hadharani Henry Kilewo kwa kusambaza waraka wa majungu dhidi yake. Henry Kilewo alishirikiana na viongozi wengine wa Chadema kusambaza waraka wenye lengo la kumchafua Zitto na kutaja jina la Kitila. Waraka huu ulitolewa baada ya Lema kushindwa kwa hoja na Zitto. It is therefore reasonable to presume kwamba Lema anahusika na waraka huu.

Mzee Mtei alitaka Kitila akae kimya ili Zitto abaki peke yake. Lakini Kitila aliandika mitandaoni kuwa Zitto ni rafiki yake wa siku nyingi na kama mtu mzima hawezi kuchaguliwa rafiki. Jambo hili limemsononesha Mtei na kuhatarisha nguvu zake juu ya Kitila. Lema na Mbowe hawawezi kupinga jambo lolote analotaka Mtei. Ndio maana hata pale Mtei alipitoa unpopular comment kuhusu composition ya tume ya katiba, Mbowe aligoma kama mwenyekiti kudenounce kauli ya Mtei. Akamtuma Mnyika atoe tamko la kiujumlajumla kuwa Mtei ana haki ya kutoa maoni yake binafsi hata kama ni ya kibaguzi na yanahatarisha umoja wa kitaifa.

Tukumbushane tu kuwa Mtei alikuwa kijana msomi wakati harakati za kupigania Uhuru wa Tanganyika zikiendelea. Mtei aliombwa mara kadhaa kusaidia katika harakati hizo lakini alikataa. Mtei alikuwa mtumishi mtiifu wa wakoloni. Uhuru ulipopatikana, Mtei aliombwa tena kushiriki ujenzi wa Taifa.

This time Mtei alikubali kwa masharti kwamba alipwe mshahara sawa na waliokuwa wanalipwa wakoloni. Nyerere alikubali kwa shingo upande kwa vile hakukuwa na mtanzania mwingine aliyekuwa na elimu ya uchumi kama Mtei. Mtei akawa analipwa mshahara mkubwa kuliko Rais Nyerere.

Baada ya vita vya Uganda, uchumi wetu ulitetereka. Wananchi wakatakiwa kufunga mikanda (kuvumilia hali ngumu). Mtei hakutaka kuvumilia hali ngumu. Akamshauri Nyerere serikali ichukue mikopo mikubwa IMF na World Bank kwa masharti yao. Nyerere alikataa ukoloni huo mamboleo. Mtei akasusa kuwatumikia watanzania bila malipo manono. Akajiuzuru...

Ndio maana kijana wa Mtei, Lema hayuko tayari kuachia au kupunguza posho ya vikao. Hiyo ni falsafa aliyofundishwa na Mtei. Zitto anaadhibiwa kwa kupinga falsafa ya Mtei hadharani.
Lema ni kifaranga tu kilicho juu ya chungu lakini chini ya chungu hicho yuko Mtei.

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...

Ze-Marcopolo salute yako kaka unatisha kwa historia. Wenye akili zao wafunguke, wabaki MISUKULE tu
 
Wewe mburula wa bk 7 hiyo operation huitwa REMOVAL OF BLOOD CLOT FROM YOUR BRAIN!!!!
Na wewe wacha kuchekesha sasa kuondoa damu iliyoganda kwenye sehemu ya ubongo ni sawa na kuondoa ubongo kama kiungo.Acha kukomaa huwezi ukaondoa ubongo ukawa mkamilifu tena kwa taarifa yako huwezi hata kuondoa baadhi ya sehemu za ubongo ukaacha athirika baadhi ya viungo vya mwili. Rudini kwenye maada haya mambo ya taaluma za watu waachieni wenye nazo.
 
wajinga mtaandika sana kama imewauma sana zito mchukueni wanafiki wakubwa chadema tupo makini daima tutawafukuza vibaraka wa ccm wote ha ha chezea chadema wewe..

Msukule wa cdm
 
Mzee Edwin Mtei ni muasisi na mmiliki wa Chadema.

Godbless Lema ni kijana wa Mtei.

Freeman Mbowe ni mkwe mpwa wa Mtei. Yaani huyu ana ukaribu na Mtei kama mme wa binti yake, lakini pia anamuita Mtei mjomba.

Godbless Lema na Mbowe ni marafiki wa karibu na ni binamu wa mbali - 6th cousins.

Uwepo wa Lema na Mbowe kwenye nafasi za juu za maamuzi ndani ya Chadema ndio kitu pekee kinachomfanya Mtei atulie shambani kwake Tengeru bila hofu. Anajua Chadema bado iko mikononi mwake. Maamuzi yote yanafanyika Tengeru halafu vikao vinakaa kuyapitisha tu.

Baada ya kijana wa Mtei, Godbless Lema kumshambulia mitandaoni mbunge mashuhuri kuliko wote Tanzania - Zitto Kabwe, ililazimika ajibiwe.

Baada ya Lema kujibiwa, ikaonekana hana hoja na momentum ikawa upande wa Zitto. Jambo hili limemsononesha sana Mtei na kumtia hasira. Pia imempa Mtei hofu kuu kuona kwamba upo uwezekano wa wanachama kukichukua chama kutoka mikononi mwake! Kutoka Tengeru chadema ingepelekwa matawini. Jambo hili Mtei ameshindwa kulivumilia.

Zitto alianza kushutumiwa na Chadema alipotangaza kugombea uenyekitu katika uchaguzi uliopita. Kabla ya hapo alionekana ni mtumishi mwema, alisifiwa na kupigiwa makofi anapoongea. Kosa lake lilikuwa kuhatarisha nafasi ya mkwe mpwa wa Mtei, Mbowe.

Zitto ameadhibiwa kwa kupinga maneno ya Lema kwenye mitandao. Pamoja na kwamba Zitto ni kiongozi wa Lema, lakini Lema ni more insider than Zitto in today's Chadema.

Kitila Mkumbo alitumiwa na Mzee Mtei kubadilisha matokeo ya viti maalum ili mabinti wa Mtei, Ndesamburo na wengine wanaowataka wapate Ubunge. Yeye Kitila hakuingiza mtu yeyote wake. Kura zilizopigwa na wajumbe zikafutwa na wabunge wakateuliea kwa kufuata vigezo vilivyotengenezwa kwa umakini wa hali ya juu na Kitila Mkumbo. Alichotaka Mtei kikafanikiwa.

Kosa la Kitila ni kumsema hadharani Henry Kilewo kwa kusambaza waraka wa majungu dhidi yake. Henry Kilewo alishirikiana na viongozi wengine wa Chadema kusambaza waraka wenye lengo la kumchafua Zitto na kutaja jina la Kitila. Waraka huu ulitolewa baada ya Lema kushindwa kwa hoja na Zitto. It is therefore reasonable to presume kwamba Lema anahusika na waraka huu.

Mzee Mtei alitaka Kitila akae kimya ili Zitto abaki peke yake. Lakini Kitila aliandika mitandaoni kuwa Zitto ni rafiki yake wa siku nyingi na kama mtu mzima hawezi kuchaguliwa rafiki. Jambo hili limemsononesha Mtei na kuhatarisha nguvu zake juu ya Kitila. Lema na Mbowe hawawezi kupinga jambo lolote analotaka Mtei. Ndio maana hata pale Mtei alipitoa unpopular comment kuhusu composition ya tume ya katiba, Mbowe aligoma kama mwenyekiti kudenounce kauli ya Mtei. Akamtuma Mnyika atoe tamko la kiujumlajumla kuwa Mtei ana haki ya kutoa maoni yake binafsi hata kama ni ya kibaguzi na yanahatarisha umoja wa kitaifa.

Tukumbushane tu kuwa Mtei alikuwa kijana msomi wakati harakati za kupigania Uhuru wa Tanganyika zikiendelea. Mtei aliombwa mara kadhaa kusaidia katika harakati hizo lakini alikataa. Mtei alikuwa mtumishi mtiifu wa wakoloni. Uhuru ulipopatikana, Mtei aliombwa tena kushiriki ujenzi wa Taifa.

This time Mtei alikubali kwa masharti kwamba alipwe mshahara sawa na waliokuwa wanalipwa wakoloni. Nyerere alikubali kwa shingo upande kwa vile hakukuwa na mtanzania mwingine aliyekuwa na elimu ya uchumi kama Mtei. Mtei akawa analipwa mshahara mkubwa kuliko Rais Nyerere.

Baada ya vita vya Uganda, uchumi wetu ulitetereka. Wananchi wakatakiwa kufunga mikanda (kuvumilia hali ngumu). Mtei hakutaka kuvumilia hali ngumu. Akamshauri Nyerere serikali ichukue mikopo mikubwa IMF na World Bank kwa masharti yao. Nyerere alikataa ukoloni huo mamboleo. Mtei akasusa kuwatumikia watanzania bila malipo manono. Akajiuzuru...

Ndio maana kijana wa Mtei, Lema hayuko tayari kuachia au kupunguza posho ya vikao. Hiyo ni falsafa aliyofundishwa na Mtei. Zitto anaadhibiwa kwa kupinga falsafa ya Mtei hadharani.
Lema ni kifaranga tu kilicho juu ya chungu lakini chini ya chungu hicho yuko Mtei.

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
Huu ni u.p.u.p.u tuuu umemwaga hapa; hata ccm ilikuwa ya Nyerere na isingekwenda kinyume na matakwa yake. Fikra yake ndio ilianzisha chama na malengo halisi na uelekeo unaopaswa kufuatwa atakuwa anaujua yeye kuliko mtu mwingine yoyote na ndio maana busara za wazee hazipuuziki
 
Utabiri wa chadema kitakufa kabla ya mwaka 2015 unatimia, walilewa sifa sasa yawakuta yale yaliyowakuta NCCR Mageuzi.Umchungaji sasa kateuliwa kuwa Naibu katibu mkuu. Padre naye ni katibu mkuu. Sasa ile christian democratic movement (cdm) yatimua, waislam hawana nafasi ndani ya chadema.
E bwana unatisha
 
Huu ni u.p.u.p.u tuuu umemwaga hapa; hata ccm ilikuwa ya Nyerere na isingekwenda kinyume na matakwa yake. Fikra yake ndio ilianzisha chama na malengo halisi na uelekeo unaopaswa kufuatwa atakuwa anaujua yeye kuliko mtu mwingine yoyote na ndio maana busara za wazee hazipuuziki

Nyerere hajawahi kumpa uongozi wa Chama mkwe wake. Hajawahi kuzia uchaguzi na hajawahi kusema wanachama fulani are "from nowhere"
 
Dr. Slaa amepewa adhabu gani kwa

1. kujikopesha pesa za ruzuku kwa matumizi yake binafsi?

2. Kumlipa Josephine Mushumbusi mamilioni kwa kazi anayooita ya kujitolea?

3. Kutumia rasilimali za chama kumtuma Josephine Mushumbusi kujenga mtandao wa Slaa mikoani?

Adhabu Chadema zinatolewa kwa mafungu. Hivi mnadhani Josephine Mushumbusi alikuwa anazunguka mikoani bila kuwa na mkakati ulioandaliwa maalum na timu ya watu?

Ushahidi: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-akihutubia-singida-mjini-12.html#post7894988

Cc Ritz chama Paul S.S Tanganyika
Watu bhana familia nzima ya mkulu iko nec na mabarabarani inatimua vumbi na maving'ora lukuki hilo hatulioni mnabaki tu na slaa slaa muuweni basi au mumng'oe meno kwa bisibisi manake ndo zenu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom