Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Kitila ni mchapa kazi. Hicho ndicho kilichomuwezesha kupata ukuu wa kitengo.

Labda nikuulize, ni kigezo gani kilichotumiwa na Chadema kumpa Kitila kazi ya kuandaa vigezo vya ubunge wa viti maalum kama sio uwezo wake? Au hujui kuwa kura zilifutwa na Kitila akapewa hadidu za rejea kuandaa vigezo?
nakubaliana na wew kuwa ni mchapa kazi, ndio maana akapewa jukumu hilo, lakin baada ya kupewa ukuu wa chuo cha serikali..., mmmh! nilishajua tu kwamba sio mwenzetu..
 
nakubaliana na wew kuwa ni mchapa kazi, ndio maana akapewa jukumu hilo, lakin baada ya kupewa ukuu wa chuo cha serikali..., mmmh! nilishajua tu kwamba sio mwenzetu..

Kwahiyo Baregu sio mwenzenu baada ya kupewa uteuzi wa Rais?
 
wadau nimekuwa nikifuatilia kwa muda sasa siasa za chama hiki ambacho wewmgne hupenda kukiita cha democrasia ila wengne twakiita cha kiimla.

Ukiangalia kwa makini utaona wazi kuwa cdm haina tofaut na tawala zinazoendeshwa na wafalme na malkia maana kuna wateule mle ambao hawataraji kuachia madaraka labda itokee siku mungu awapende zaidi.
Sasa swali mkangu ni je nani mfalme pale kati ya slaa,mtei na mbowe? Na je hawa vijana wanaoburuzwa kina mnyika,lema,&co. wanakaa upande gan katika ufalme huu?
Naomba majibu ya watu wenye maono sio wale vijana wa bavicha wanaodhani kuwa cdm ni kushabikia na kushangilia kila upuuzi bila kupambanua uhalisia wa mambo

Mfalme ni Mtei.

Slaa ni mtumishi mtiifu.

Mbowe na Lema ni vijana wa Mtei.
 
Nasikitika kumpoteza Zitto katika harakati hizi za ukombozi. Tamaa ya madaraka ya haraka imemponza. Hata hivyo naamini siku ikiandikwa historia ya ukombozi wa pili wa nchi hii, jina la Zitto lazima litajitokeza...
 
Zitto hana tamaa, ana UTAYARI wa kuongoza.

Btw kwenye ule waraka, kosa la Zitto ni nini? Kupendekezwa ni kosa?
 
Mkuu wangu ZeMarcopolo mpenda amani umefanya uchambuzi wa kina sana na wa ujenzi wa taifa.

Inasikitisha mtu kama Kitila Mkumbo ambaye alijitolea kwa moyo wake kuijenga Chadema kupitia chuo kikuu leo hii anavuliwa cheo na kuambiwa alipewa laki mbili.

Mtu kama Lema na Kilewo leo hii wanaoneka lulu wakati siasa zao zinaanzia makao mapya na kuishia stendi ya vifodi.

Lema is the third most powerfull servant in chadema

Alinihakikishia kuwa atamuondoa Zitto chadema na yametimia.

Pamoja na kuwa mtiifu kwa mabosi wake pia anasikilizwa sana. Kwa kifupi lema ana nyota yenye nguvu sana kiasi kwamba anaweza kushawishi mbuzi amuume mchungaji na mbuzi akakubali bila kujali matokeo
 
Last edited by a moderator:
Utabiri wa chadema kitakufa kabla ya mwaka 2015 unatimia, walilewa sifa sasa yawakuta yale yaliyowakuta NCCR Mageuzi.Umchungaji sasa kateuliwa kuwa Naibu katibu mkuu. Padre naye ni katibu mkuu. Sasa ile christian democratic movement (cdm) yatimua, waislam hawana nafasi ndani ya chadema.
 
Kwahiyo Baregu sio mwenzenu baada ya kupewa uteuzi wa Rais?
ni mwenzetu, huoni alivonyimwa mkataba chuoni ndugu, kumteua kwenye kamati ya katiba mpya hakuwa na choice, maana alipelekewa majina 3 achague, kuchaguliwa kwake ni sawa tu. labda angemchagua tu from no where tungemtilia shaka..,

wakuu wa vyuo vya serilkali lazima uwe kada wa ccm, au uwe neutral, unakumbuka uteuzi wa prof mkandala kuwa vc udsm...! alipelekewa majina 3 la mkandala halikuwemo akayapiga chini yote. mpaka alipowekwa jamaa na ndo akamteua..,
 
Lema is the third most powerfull servant in chadema

Alinihakikishia kuwa atamuondoa Zitto chadema na yametimia.

Pamoja na kuwa mtiifu kwa mabosi wake pia anasikilizwa sana. Kwa kifupi lema ana nyota yenye nguvu sana kiasi kwamba anaweza kushawishi mbuzi amuume mchungaji na mbuzi akakubali bila kujali matokeo

Lema ni kijana wa Mtei. Zitto ameadhibiwa kwa kumuumiza kijana wa mwenye chama...
 
ZeMarcopolo kama issue ni Zito kwanini msisubiri aseme yake ya moyoni within 14 days kisha awe mchezaji huru mumsajili katika dirisha dogo la usajili awasaidilie majira ya high season 2015?
 
Lema is the third most powerfull servant in chadema

Alinihakikishia kuwa atamuondoa Zitto chadema na yametimia.

Pamoja na kuwa mtiifu kwa mabosi wake pia anasikilizwa sana. Kwa kifupi lema ana nyota yenye nguvu sana kiasi kwamba anaweza kushawishi mbuzi amuume mchungaji na mbuzi akakubali bila kujali matokeo
Unajua siku ile kwenye zogo lao humu dhidi ya Zitto nilivyoona vijana wa Mtei Godbless J Lema Ben Saanane Joshua Nassari Mungi pamoja na Dr.W.Slaa kuhangaika kutoa like kwa wale wote wanaomukana Zitto huku freeman A Mbowe amekaa makao makuu anafuatilia mjadala nikajua huu ni mpango maalum kutoka kaskazini.

Huku na sisi tunachochea kuni kavu kwenye mafiga.
 
Mzee Edwin Mtei ni muasisi na mmiliki wa Chadema.

Godbless Lema ni kijana wa Mtei.

Freeman Mbowe ni mkwe mpwa wa Mtei. Yaani huyu ana ukaribu na Mtei kama mme wa binti yake, lakini pia anamuita Mtei mjomba.

Godbless Lema na Mbowe ni marafiki wa karibu na ni binamu wa mbali - 6th cousins.

Uwepo wa Lema na Mbowe kwenye nafasi za juu za maamuzi ndani ya Chadema ndio kitu pekee kinachomfanya Mtei atulie shambani kwake Tengeru bila hofu. Anajua Chadema bado iko mikononi mwake. Maamuzi yote yanafanyika Tengeru halafu vikao vinakaa kuyapitisha tu.

Baada ya kijana wa Mtei, Godbless Lema kumshambulia mitandaoni mbunge mashuhuri kuliko wote Tanzania - Zitto Kabwe, ililazimika ajibiwe.

Baada ya Lema kujibiwa, ikaonekana hana hoja na momentum ikawa upande wa Zitto. Jambo hili limemsononesha sana Mtei na kumtia hasira. Pia imempa Mtei hofu kuu kuona kwamba upo uwezekano wa wanachama kukichukua chama kutoka mikononi mwake! Kutoka Tengeru chadema ingepelekwa matawini. Jambo hili Mtei ameshindwa kulivumilia.

Zitto alianza kushutumiwa na Chadema alipotangaza kugombea uenyekitu katika uchaguzi uliopita. Kabla ya hapo alionekana ni mtumishi mwema, alisifiwa na kupigiwa makofi anapoongea. Kosa lake lilikuwa kuhatarisha nafasi ya mkwe mpwa wa Mtei, Mbowe.

Zitto ameadhibiwa kwa kupinga maneno ya Lema kwenye mitandao. Pamoja na kwamba Zitto ni kiongozi wa Lema, lakini Lema ni more insider than Zitto in today's Chadema.

Kitila Mkumbo alitumiwa na Mzee Mtei kubadilisha matokeo ya viti maalum ili mabinti wa Mtei, Ndesamburo na wengine wanaowataka wapate Ubunge. Yeye Kitila hakuingiza mtu yeyote wake. Kura zilizopigwa na wajumbe zikafutwa na wabunge wakateuliea kwa kufuata vigezo vilivyotengenezwa kwa umakini wa hali ya juu na Kitila Mkumbo. Alichotaka Mtei kikafanikiwa.

Kosa la Kitila ni kumsema hadharani Henry Kilewo kwa kusambaza waraka wa majungu dhidi yake. Henry Kilewo alishirikiana na viongozi wengine wa Chadema kusambaza waraka wenye lengo la kumchafua Zitto na kutaja jina la Kitila. Waraka huu ulitolewa baada ya Lema kushindwa kwa hoja na Zitto. It is therefore reasonable to presume kwamba Lema anahusika na waraka huu.

Mzee Mtei alitaka Kitila akae kimya ili Zitto abaki peke yake. Lakini Kitila aliandika mitandaoni kuwa Zitto ni rafiki yake wa siku nyingi na kama mtu mzima hawezi kuchaguliwa rafiki. Jambo hili limemsononesha Mtei na kuhatarisha nguvu zake juu ya Kitila. Lema na Mbowe hawawezi kupinga jambo lolote analotaka Mtei. Ndio maana hata pale Mtei alipitoa unpopular comment kuhusu composition ya tume ya katiba, Mbowe aligoma kama mwenyekiti kudenounce kauli ya Mtei. Akamtuma Mnyika atoe tamko la kiujumlajumla kuwa Mtei ana haki ya kutoa maoni yake binafsi hata kama ni ya kibaguzi na yanahatarisha umoja wa kitaifa.

Tukumbushane tu kuwa Mtei alikuwa kijana msomi wakati harakati za kupigania Uhuru wa Tanganyika zikiendelea. Mtei aliombwa mara kadhaa kusaidia katika harakati hizo lakini alikataa. Mtei alikuwa mtumishi mtiifu wa wakoloni. Uhuru ulipopatikana, Mtei aliombwa tena kushiriki ujenzi wa Taifa.

This time Mtei alikubali kwa masharti kwamba alipwe mshahara sawa na waliokuwa wanalipwa wakoloni. Nyerere alikubali kwa shingo upande kwa vile hakukuwa na mtanzania mwingine aliyekuwa na elimu ya uchumi kama Mtei. Mtei akawa analipwa mshahara mkubwa kuliko Rais Nyerere.

Baada ya vita vya Uganda, uchumi wetu ulitetereka. Wananchi wakatakiwa kufunga mikanda (kuvumilia hali ngumu). Mtei hakutaka kuvumilia hali ngumu. Akamshauri Nyerere serikali ichukue mikopo mikubwa IMF na World Bank kwa masharti yao. Nyerere alikataa ukoloni huo mamboleo. Mtei akasusa kuwatumikia watanzania bila malipo manono. Akajiuzuru...

Ndio maana kijana wa Mtei, Lema hayuko tayari kuachia au kupunguza posho ya vikao. Hiyo ni falsafa aliyofundishwa na Mtei. Zitto anaadhibiwa kwa kupinga falsafa ya Mtei hadharani.
Lema ni kifaranga tu kilicho juu ya chungu lakini chini ya chungu hicho yuko Mtei.

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...

aisee hili suala linaonekana limewaumiza CCM zaid nini? mbona wao tu ndio wanaolalamika?
 
ZeMarcopolo kama issue ni Zito kwanini msisubiri aseme yake ya moyoni within 14 days kisha awe mchezaji huru mumsajili katika dirisha dogo la usajili awasaidilie majira ya high season 2015?

Vyama vya siasa si vilabu vya mpira...
 
Mkuu ZeMarcoPolo, umesomeka. Sasa hebu weka jamvini CV za Mbowe, Lema V/s Zitto, tudadavue nani kati yao alimudu umande na kupevuka kielimu ili Wadau tuchambue pumba na mchele!

namashaka ka u timamu...kwani uliambiwa umande unaongeza akili
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom