Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Watu bhana familia nzima ya mkulu iko nec na mabarabarani inatimua vumbi na maving'ora lukuki hilo hatulioni mnabaki tu na slaa slaa muuweni basi au mumng'oe meno kwa bisibisi manake ndo zenu

Akili za Bavicha hizi...
 
Kijana hodari hupendwa na jamii hata kama baba yake alimtekeleza.

Ndio maana Obama alitelekezwa na baba yake lakini wamarekani wamempigania mpaka amekuwa Rais.

Mpo aina ya baba msiojali watoto mliozaa kwa hofu, wivu na kuwakosea heshima wake zenu eti inawezekana sio watoto wenu!

Kweli humu jf kuna watu ni Great thinkers. Naangalia namna unavyojibu hoja tena kwa mifano halisi mpaka muulizaji anaona aibu kama aliuliza kwa kejeli. Safi kaka
 
CCM mmefika pabaya sana, kama waziri anasema warioba apunzishwe tujue wanamaanisha apunzishwe kwa njia ipi?
Hii nimeipata humu JF kwenye post ya faizafoxy hasira za Mkisi.....

Ndiyo CCM yako inavyofanya

Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " Mwigulu Nchemba " <shimbi85@gmail.com> >
To: “Emmanuel Nchimbi” < nchimbie@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde

MN

2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < nchimbie@yahoo.com >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

MN

Endeleeni ila mtaula wa chuya​
 
Marehemu chadema, r.i.p
Kwa wanaojua maana ya mfumo wa vyama vingi na maana ya demokrasia ya vyama vingi na umuhimu wa vyama vingi kusikia kauli ya aina hii basi watasikitika sana, kwa kifupi, NCCR Mageuzi, CUF na CDM zimesaidia sana CCM kujirekebisha na kufanya yale yanayorudisha imani kwa wananchi. Na ukiangalia tangu mfumo wa vyama vingi, uchaguzi wa kwanza NCCR-Mageuzi ilitoa changamoto kubwa kwa CCM, ikaja CUF naayo ikatoa changamoto kubwa na katika uchaguzi uliopita CDM, kumbe kuombea vyama kufa, ni kujidanganya kwa mtu anayeelewa siasa, mara zote siasa si hujuma bali sera na kuzitekeleza. Anachofanya sasa hivi Mheshimiwa Kinana na Nape ni kutokana na changamoto za vuguvugu za vyama vingi ambazo zinawafanya viongozi wafanye kazi na kuwafikia wananchi na siyo kukaa tu kama vile tuna mfumo wa chama kimoja, mie naombea sana vyama hivi viwepo kwani bila upinzani hakuna CCM imara.
 
CCM mmefika pabaya sana, kama waziri anasema warioba apunzishwe tujue wanamaanisha apunzishwe kwa njia ipi?
Hii nimeipata humu JF kwenye post ya faizafoxy hasira za Mkisi.....

Ndiyo CCM yako inavyofanya

Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " Mwigulu Nchemba " <shimbi85@gmail.com> >
To: “Emmanuel Nchimbi” < nchimbie@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde

MN

2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < nchimbie@yahoo.com >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

MN

Endeleeni ila mtaula wa chuya​

Utoto umekujaa.

Yaani mtu aandike details zote hizo lakini sehemu ya kukutana ndio afiche!
Tumia akili sometimes...
 
Dr. Slaa amepewa adhabu gani kwa

1. kujikopesha pesa za ruzuku kwa matumizi yake binafsi?

2. Kumlipa Josephine Mushumbusi mamilioni kwa kazi anayooita ya kujitolea?

3. Kutumia rasilimali za chama kumtuma Josephine Mushumbusi kujenga mtandao wa Slaa mikoani?

Adhabu Chadema zinatolewa kwa mafungu. Hivi mnadhani Josephine Mushumbusi alikuwa anazunguka mikoani bila kuwa na mkakati ulioandaliwa maalum na timu ya watu?

Ushahidi: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-akihutubia-singida-mjini-12.html#post7894988

Cc Ritz chama Paul S.S Tanganyika

Halafu huyu mmama Josephine anampelekesha kweli Dr Slaa, anazunguka huko kote kama nani na kwa pesa ya nani?
Si ndio huyu anatumiaga na ID ya @Dr W Slaa humu jukwaani?
 
Last edited by a moderator:
Halafu huyu mmama Josephine anampelekesha kweli Dr Slaa, anazunguka huko kote kama nani na kwa pesa ya nani?
Si ndio huyu anatumiaga na ID ya @Dr W Slaa humu jukwaani?

Anatumia pesa ya Chadema kwa manufaa binafsi ya Dr. Slaa...
 
Last edited by a moderator:
Kweli ccm mmeishiwa kama mmeamia kwenye mambo ya ndoa na undugu?Baada ya udini kushindwa! mmekwisha
wenzenu kwenye waraka wao,walimsifia mzee Mtei na kummwagia sifa lukuki
sasa wewe unakuja na issue dhaifu ya undugu?
Mbona husemi lolote kuhusu mh.Hawa Ghasia na undugu wake na mh.Rais?Vita kawawa,yule mdada wa vitu maalumu...Kawawa,Waziri wa afya-mwinyi,January makamba,Mzee SMG Morogoro gesti na wengine wengi mbona hutujatoa uzi tuko kimya?
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako,ndipo uone kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
 
Kumfukuza askari hodari toka jeshini haiwezi kuwa mafanikio...
Huu urafiki wako wa ghafla na CDM unaleta mashaka,kama waliofukuzwa walikuwa askari hodari wa CDM nilidhani
kwenu wana ccm ni afueni,lakini kinyume chake mmesikitika! Hii picha inanifundisha mambo mawili na katika hayo moja litakuwa sahihi
Kama mh.Zitto hawafanyii kazi yenu ndani ya CDM basi wengi wa wana ccm ni wapenzi wa CDM kama wengi wenu walivyokuwa washabiki wa ccj huku wangali wamevaa kijani ya lumumba.
Binafsi nawapongeza kwa moyo wenu wa kupenda mabadiliko japo hamna ujasiri wa kuthubutu kuonyesha
nia zenu.Basi nawasihi muonyeshe nia zenu kwa vitendo kwenye mabox ya kura 2015.
 
Kwi kwi kwi kwi kwi MACCM yanatokwa mapovu ya hali ya juu dah!!!!! Timu nzima ya Buku 7 leo imeshushwa hapa ili kufanya mashambulizi ya nguvu yaliyojaa pumba tupu. Kama zilivyoshindwa propaganda zenu njaa za CHADEMA chama kikabila, chama cha kidini, chama cha magaidi kinataka kuleta fujo nchini na hii pia itashindwa. CHADEMA kimeshajijengea imani ya kutosha kwa Watanzania wengi wenye uelewa mkubwa na hivyo kutambua fika kwamba mkombozi wa kweli wa Tanzania na Watanzania dhidi ya chama dhalimu cha MACCM kilichokumbatia wauza unga, mafisadi, majangili na magaidi ni CHADEMA.

Peopleeeeeezzzzzzzz Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Alutta continua!!! continua!!!!

😛eace:😛eace:😛eace:
 
Zitto na kitila wamepewa nafasi ya kujieleza......tusi-conclude wakati bado hatujasikia kutoka kwao.......
Hawa bado ni wanasiasa muhimu kwa chadema na heshima yao bado ipo pale pale.....mpaka hapo nitakaposikia kutoka kwao!
 
Wewe unaijua Chadema kuliko Kitila Mkumbo?
 
Zitto na kitila wamepewa nafasi ya kujieleza......tusi-conclude wakati bado hatujasikia kutoka kwao.......
Hawa bado ni wanasiasa muhimu kwa chadema na heshima yao bado ipo pale pale.....mpaka hapo nitakaposikia kutoka kwao!

Wamepewa kwanza adhabu halafu ndio wajieleze!

Kangaroo court...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom