Muarobaini wa Drones(fiber-optic drones) za Hezbollah Wapatikana!!

Muarobaini wa Drones(fiber-optic drones) za Hezbollah Wapatikana!!

Kama ulipita shule hiyo ndio hali hakuna kusonga mbele, inasonga usiku mchana mnarudi mlikotoka mmmk

It’s worth noting that most Israeli advances are carried out at night due to the threat of FPV drones during the day.

With thermal-equipped drones now entering the battlefield, it will become much harder for occupation forces to advance.

🚩 ResistanceTrench | Boost
Endeleeni kudanganyana kwa taarifa yako tu Jioni hii Israel imeongeza mashambulizi yake huko Kusini mwa Lebanon harafu ninyi mnalishwa a Matango-Pori!!
 
Video zote Mnazo chinjwa na drone ninazo maana zina kamera hivyo taarifa tunazo kawadamganye walokole ambao hawana habari
Hebu ziweke hapa tuzione!! Mmekuwa Waongo waongo sana!! Drones zenyewe hata ikiwa inaua mtu mmoja tu !! Narudia tena Huko Lebanon kusini Magaidi wa Hezbollah wameshikwa pabaya na sasa wanaugulia maumivu tu baada ya kupoteza magaidi wenzao 600 kwa wiki hizi tu!!!
 
🚨
OVER 100 HEZBOLLAH TERROR SITES STRUCK IN LEBANONIsrael struck more than 100 Hezbollah terror infrastructures across the Beqaa Valley and southern Lebanon.
 
Nilishakuambia usijifanye unajua kuchamba mavi kuliko Mwarabu!! Na huwezi ukaijui Biblia kuliko wenye nayo Wakristo!!
Kweli Hakuna mwenye kuijua biblia yako ya Queen James Bible zaidi yako
 
Angalia sasa hivi jioni hii Magaidi wa Hezbollah wanavyobondwa utafikiri hawana mnazijua!! Angalia video hapo Mwili wa Gaidi ulivyo rushwa hewani Kama una akili timamu huwezi kuwaua magaidi wa Hezbollah wataishinda Israel unless uwe Punguani Kama wewe au zitto junior
Hao ni raia wema wanapigwa Israel kasema atashambulia raia ili kushinikiza Hezbollah apunguze moto
 
🌟_Hezbollah carried out more than 33 operations against Israel so far today, most of them using FPV drones to target soldiers, tanks, artillery positions and command centers in southern Lebanon
 
Endeleeni kudanganyana kwa taarifa yako tu Jioni hii Israel imeongeza mashambulizi yake huko Kusini mwa Lebanon harafu ninyi mnalishwa a Matango-Pori!!
Sio mara ya kwanza kushambulia suluhu na Hezbollah haiwezi kupatikana kwa mabomu
 
Hebu ziweke hapa tuzione!! Mmekuwa Waongo waongo sana!! Drones zenyewe hata ikiwa inaua mtu mmoja tu !! Narudia tena Huko Lebanon kusini Magaidi wa Hezbollah wameshikwa pabaya na sasa wanaugulia maumivu tu baada ya kupoteza magaidi wenzao 600 kwa wiki hizi tu!!!
Sasa ingekuwa drone si kitu au inaua mmoja mmoja msingekaa vikao kusema hizo drone ni tishio utafutwe muarobaini
 
Hao ni raia wema wanapigwa Israel kasema atashambulia raia ili kushinikiza Hezbollah apunguze moto
Endeleeni kujificha kwa raia IDF itawapelekea moto huko huko safari Idd mtaisherehekea vizuri sana!!!
 
Back
Top Bottom