Muarobaini wa Drones(fiber-optic drones) za Hezbollah Wapatikana!!

Muarobaini wa Drones(fiber-optic drones) za Hezbollah Wapatikana!!

Taja majina kwani hawana majina? Yaani unaokoteza vifake news vyako unaleta hapa. Mfano hapo kuna picha ya Ahmed Vahidi ambaye sio tu yupo hai ila ni mkuu wa majeshi ya IRGC.
Kwa ujinga wako unataka mimi kunipa kazi ya kuhesabu Mizoga ya Magaidi? Hiyo kazi nimekuachia wewe mimi nimekuwekea picha za mizoga wewe anza kutaja majina yao ukianzia Gaidi Ayatollah Ali Khamenei!!

Punguza fake news dogo hii sio Facebook, yaani ningekua mods kwa dakika 5 tu ningekuban mwaka mzima.
Uzuri JF haina wajinga kama wewe wanaoumia magaidi yakifyekwa!!!

Wewe ulituamisha kuwa Netanyahu kauwawa cha ajabu hujatuambia alizikwa lini!!!
 
Mfano hapa umepost Esmail Qaani amekufa kitu ambacho sio kweli. Kwanini JamiiCheck hamunchukulii hatua huyu mpotoshaji namba moja JF? Anaharibu sana heshima na legacy ya JF kama forum ya habari za uhakika.

Pia kwenye hii picha Alireza Tangsiri anaonekana hajafariki ila wewe mwenyewe uliandika thread kuonyesha Alireza Tangsiri ameshafariki. Sasa which is which

View attachment 3594852

Source kuwa Esmail qaani yuhai
Source: The Jerusalem Post IRGC QF head Qaani visits Baghdad amid negotiations for new Iraqi prime minister | The Jerusalem Post
Safari hii lazima tu Roho ikutoke kwa viongozi karibu wote wa Hamas,Hezbollah na Bwana wao Iran hawana viongozi karibu wote wamefyekelewa mbali na na Majeshi hodari ya Israel!!!

Najua sana viongozi hao wanakuuma sana lakini hakuna namna wewe endelea tu kubwabwaja.

Kwa taarifa yako tu mimi sasa kila siku nitakuwa natoa taarifa zaidi kuhusu kuuwawa magaidi ili tu uzidi kuumia labda ujinga utakutoka!!!
 
Kwa ujinga wako unataka mimi kunipa kazi ya kuhesabu Mizoga ya Magaidi? Hiyo kazi nimekuachia wewe mimi nimekuwekea picha za mizoga wewe anza kutaja majina yao ukianzia Gaidi Ayatollah Ali Khamenei
Ndi nimekuonyesha kwa majina kabisa hapo kuna watu zaidi ya 10 hawajafa ila umewapost kama wamekufa. Huyo Mohammad Bagher (Sio Ghalibaf) mbona bado yupo tena alikuwepo kwenye mazungumzo huko Pakistan.
Wewe ulituamisha kuwa Netanyahu kauwawa cha ajabu hujatuambia alizikwa lini!!!
Acha utoto unadhani mie la saba kama wewe? unaweza weka hapa post yangu yoyote au uzi nilipoandika hilo.
Uzuri JF haina wajinga kama wewe wanaoumia magaidi yakifyekwa!!!
Wajinga hamna ndio maana unafahamika kama bingwa wa fake news JF, na mimi nipo bampa to bampa na wewe kuhakikisha haupotoshi lolote. Yaani ukipotosha tu ntaku fact check mpaka uanze kutukana upigwe ban tena.
 
Safari hii lazima tu Roho ikutoke kwa viongozi karibu wote wa Hamas,Hezbollah na Bwana wao Iran hawana viongozi karibu wote wamefyekelewa mbali na na Majeshi hodari ya Israel!!!
Nimekwambia taja majina yao otherwise acha kuleta fake news hapa, Esmail Qaani hajafa, na huyo Alireza we mwenyewe ulisema amekufa ila wewe tena umekanusha kupitia hiyo picha sasa tukueleweje? Huoni ulivyo mjinga.
Najua sana viongozi hao wanakuuma sana lakini hakuna namna wewe endelea tu kubwabwaja.
Mimi nimenyoosha maelezo kuwa unapotosha. Hayo mengine ni yako, ila Acha fake news unaharibu reputation ya JF.
Kwa taarifa yako tu mimi sasa kila siku nitakuwa natoa taarifa zaidi kuhusu kuuwawa magaidi ili tu uzidi kuumia labda ujinga utakutoka
Hujakatazwa ila usiandike habari za uongo, na una bahati JamiiCheck wamelala sana otherwise wangesha-kublock mwaka mzima. So far umeshatoa fake news 15 za matukio ya vita ya Iran na Israel ila wanakuacha tu.
 
Ndi nimekuonyesha kwa majina kabisa hapo kuna watu zaidi ya 10 hawajafa ila umewapost kama wamekufa. Huyo Mohammad Bagher (Sio Ghalibaf) mbona bado yupo tena alikuwepo kwenye mazungumzo huko Pakistan
Acha ujinga umesema wako zaidi ya 10 ambao hawajafa na ukataja mmoja kwa nini hukuwataja wote ambao hawajafa? Viongozi wa kijeshi na kiraia zaidi ya 300 wamekufa wewe umeng'ang'ana na viongozi 10 hao watakusaidia nini Bwege wewe?

Mimi nimenyoosha maelezo kuwa unapotosha. Hayo mengine ni yako, ila Acha fake news unaharibu reputation ya JF.
Wewe umejenga reputation gani hapa JF kama si kueneza Uongo na Chuki dhidi ya Israel umekuwa mstari wa mbele kuwapamba Magaidi kama vile Hamas,Hezbollah na Houth na kuaminisha watu kuwa wataishinda Israel matokeo yake tunaiona Gaza ikiwa vifusi tu!!

Hujakatazwa ila usiandike habari za uongo, na una bahati @JamiiCheck wamelala sana otherwise wangesha-kublock mwaka mzima. So far umeshatoa fake news 15 za matukio ya vita ya Iran na Israel ila wanakuacha tu.
Kwa bahati nzuri JF haina watu wajinga na wapumbavu kama wewe!!!
 
Huu ndio muarobaini wa drones Lebanon
********************************
🇮🇱/🇱🇧 | Israeli army began "withdrawing" its forces from southern Lebanon for fear of being exposed to drones, according to Hebrew media.

@AlHaqNews
 
Wakati mwingine tumieni akili zenu vizuri na siyo ku Copy & Paste
IDF wako Lebanon-Kusini kuweka Buffer-Zones na tayari wameshaweka sasa huu utumbo uliouweka hapa ina maana gani? Unataka kusema IDF ni wajinga kama Hezbollah??

Mnadanganyana kwa kuandika eti "Hebrew Media" vipi hizo? Mnatumika vibaya sana na waarabu!!
 
Acha ujinga umesema wako zaidi ya 10 ambao hawajafa na ukataja mmoja kwa nini hukuwataja wote ambao hawajafa? Viongozi wa kijeshi na kiraia zaidi ya 300 wamekufa wewe umeng'ang'ana na viongozi 10 hao watakusaidia nini Bwege wewe
Hao uliopost wanafika 300 hapo? Kma kwenye picha ya watu 30 tu umeshapotosha 10 sembuse kwenye 300? Weka majina ya hao 300 na picha zao otherwise wewe ni mpotoshaji kama siku zote.

Mohammed bagher Zolghadr amekufa lini?? Hata aibu huna.
Wewe umejenga reputation gani hapa JF kama si kueneza Uongo na Chuki dhidi ya Israel umekuwa mstari wa mbele kuwapamba Magaidi kama vile Hamas,Hezbollah na Houth na kuaminisha watu kuwa wataishinda Israel matokeo yake tunaiona Gaza ikiwa vifusi tu!!
Nitafute reputation kwa ID feki? Naongelea reputation ya JF, maana watu wanaamini JF ndio media pekee yenye ukweli sasa wakiingia then wakutane na fake news zako huoni inashusha hadhi ya JF? Na sielewi kwanini JF inakuendekeza tu.
Kwa bahati nzuri JF haina watu wajinga na wapumbavu kama wewe
Mara ngapi nimekuripoti umekula ban au thread zako kutupwa jamiicheck!! Sema tume report hadi tumechoka we ni wa kufutiwa ID ndio dawa pekee.
 
Hao uliopost wanafika 300 hapo? Kma kwenye picha ya watu 30 tu umeshapotosha 10 sembuse kwenye 300? Weka majina ya hao 300 na picha zao otherwise wewe ni mpotoshaji kama siku zote.

Mohammed bagher Zolghadr amekufa lini?? Hata aibu huna
Mimi sipo hapa kutaja majona ya Mizoga labda tu nikutajie mmoja Gaidi Ayatollah Ali Khamenei!!
 
Nitafute reputation kwa ID feki? Naongelea reputation ya JF, maana watu wanaamini JF ndio media pekee yenye ukweli sasa wakiingia then wakutane na fake news zako huoni inashusha hadhi ya JF? Na sielewi kwanini JF inakuendekeza tu
Narudia tena Nashukuru Mungu JF hatuna watu Wajinga na Wapumbavu kama wewe!!
Maana wangekuwepo daima tungekuwa tunasifia magaidi kila siku na anayewapinga magaidi akula Ban ya mwaka!!

Mara ngapi nimekuripoti umekula ban au thread zako kutupwa jamiicheck!! Sema tume report hadi tumechoka we ni wa kufutiwa ID ndio dawa pekee.
Ndiyo Maana nasema Nashukutu Mungu JF haina viongozi Wajinga na wapumbavu kama wewe!!

Ujinga mtupu unakusumbua nani alikuweka kuwa Kiranja hapa JF?
 
Wakati mwingine tumieni akili zenu vizuri na siyo ku Copy & Paste
IDF wako Lebanon-Kusini kuweka Buffer-Zones na tayari wameshaweka sasa huu utumbo uliouweka hapa ina maana gani? Unataka kusema IDF ni wajinga kama Hezbollah??

Mnadanganyana kwa kuandika eti "Hebrew Media" vipi hizo? Mnatumika vibaya sana na waarabu!!
Sawa wewe muelewa unajua kila kitu drone sio tatizo, ila ukweli ndio hakukaliki ishu sio bafa zone ishi kukaa kwenye hizo bafa zone, wewe wafix walokole wenzio sio mimi
 
🇮🇱/🇱🇧❗️6 Israeli soldiers were injured in Hezbollah's attacks today

🔹Hebrew media reported that at least 6 soldiers of the Israeli regime were injured with dangerous injuries as a result of being hit by a small Hezbollah drone.

@AlHaqNews
 
#Enemy_Media

KAN Hebrew Channel: “Hunting the Commanders” — Hezbollah’s new strategy involving explosive drones.

#Military_Media
 
Umesahau ulisema Hezbollah kamalizwa, pale sio Syria wala palestine wale ni shia muslims, hutakaaa pale na Israel hawezi kuidhoofisha Hezbollah
 
Kama ulipita shule hiyo ndio hali hakuna kusonga mbele, inasonga usiku mchana mnarudi mlikotoka mmmk

It’s worth noting that most Israeli advances are carried out at night due to the threat of FPV drones during the day.

With thermal-equipped drones now entering the battlefield, it will become much harder for occupation forces to advance.

🚩 ResistanceTrench | Boost
 
Maamuzi yaliyofikiwa na maharamia baada ya drone kushindikana
**************
🇮🇱⚡️🇱🇧 Criminal Israeli Finance Minister Bezalel Smotrich:

For every Hezbollah explosive drone, 10 buildings in Beirut should fall.

We will not win against the drones in defense, but in attack.

A strategic threat is not answered only by protection — we must change the rules and the equation.

🚩 ResistanceTrench | Boost
 
Mlidhani tatizo ni nasrallah amekuja shekh Naim
 
Video zote Mnazo chinjwa na drone ninazo maana zina kamera hivyo taarifa tunazo kawadamganye walokole ambao hawana habari
 
Sawa wewe muelewa unajua kila kitu drone sio tatizo, ila ukweli ndio hakukaliki ishu sio bafa zone ishi kukaa kwenye hizo bafa zone, wewe wafix walokole wenzio sio mimi
Endeleeni kudanganyana IDF iko huko Lebanon kusini na haitaki leo!! Na Magaidi wa Hezbollah cha moto wanakipata huko!!!
 
Attachments

  • IMG_5377.jpeg
    IMG_5377.jpeg
    187.5 KB · Views: 5
  • IMG_5376.jpeg
    IMG_5376.jpeg
    154.7 KB · Views: 8
Umesahau ulisema Hezbollah kamalizwa, pale sio Syria wala palestine wale ni shia muslims, hutakaaa pale na Israel hawezi kuidhoofisha Hezbollah
Angalia sasa hivi jioni hii Magaidi wa Hezbollah wanavyobondwa utafikiri hawana mnazijua!! Angalia video hapo Mwili wa Gaidi ulivyo rushwa hewani Kama una akili timamu huwezi kuwaua magaidi wa Hezbollah wataishinda Israel unless uwe Punguani Kama wewe au zitto junior
 
Attachments

  • 6569077142796520411.mp4
    2.8 MB
  • 7868250404259867074.mp4
    1.1 MB
  • -9129760520640145568.mp4
    3.3 MB
  • -5629372996278175430.mp4
    7.8 MB
  • 5677724908276857606.mp4
    2 MB
Back
Top Bottom