Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,237
- 6,612
Hawa ndo wanawasaidia wanaume wa dar maana naona kama hii fuso iko pale tandaleHahaha![]()
Ahsante nimekupenda pia.Wee mdada nimekupenda bure!![emoji7]
SijuiView attachment 459974
Hawa wa wapi?
Wow! Huyu ni mbongo kabisaaaa!!
Hawa ndo wanawasaidia wanaume wa dar maana naona kama hii fuso iko pale tandale
Hahahaaaaa naona uvumilivu umekushinda! Umelazimika kutoa neno!!...tutake radhi mkuu
LoL
Hawa paka wanafugwa hapo dar eneo Kariakoo mtaa wa msimbazi gorofa ya tatu kuna wahindi wamewafuga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa paka wanafugwa hapo dar eneo Kariakoo mtaa wa msimbazi gorofa ya tatu kuna wahindi wamewafuga
Sio wa kwa bibi nyau hao!!?Hawa paka wanafugwa hapo dar eneo Kariakoo mtaa wa msimbazi gorofa ya tatu kuna wahindi wamewafuga
Hahaha,Mwanaume wa mkoani[emoji116]
![]()
Mwanaume wa Dar[emoji116]
![]()
Daah [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mara ya kwanza kufika Dar iliniwia vigumu kujua mwanaume ni yupi na mwanamke ni yupi yaani wanafanana na dada zao kuanzia mavazi tembea kuongea kujipodoa nikamuuliza jamaa yangu akanijibu labda tuwaambie wavue nguo tuweze kuwatofautisha
Hawa ni wale wamama wanaowauzia dawa ya kuongeza nguvu za kiume wanaume wa dsm.Pale mabibi wa mikoani wanaposikia kijana wa mkoani kapata kibarua cha ushamba boi Dar
View attachment 459953
Mmhhh!!!! Wewe ni Mwanamke au Mwanaumenajivunia kuwa Wa dar miaka milion mtuache na wanaume zetu na wake zetu wa dar miaka milion kuwa wa dar mkoani nyonyooo
Mmhhh!!!! Wewe ni Mwanamke au Mwanaume