Mwanaume wa mkoani
Mwanaume wa Darisalama
Ohoooo!!!Mara ya kwanza kufika Dar iliniwia vigumu kujua mwanaume ni yupi na mwanamke ni yupi yaani wanafanana na dada zao kuanzia mavazi tembea kuongea kujipodoa nikamuuliza jamaa yangu akanijibu labda tuwaambie wavue nguo tuweze kuwatofautisha
Mkuu tupia na kapicha maana hii habari imenitisha kidogoMara ya kwanza kufika Dar iliniwia vigumu kujua mwanaume ni yupi na mwanamke ni yupi yaani wanafanana na dada zao kuanzia mavazi tembea kuongea kujipodoa nikamuuliza jamaa yangu akanijibu labda tuwaambie wavue nguo tuweze kuwatofautisha