Muamusho leo upo katika Viwanja vya Maisara - Unguja

Kama haijawhi kukutoke basi shukuru Mungu, mimi kuna wakati nilitamani atokee baunsa amtandike makonde baba yangu mzazi!....nawahimiza hawa wapemba wakomae maana watanganyika tumeishalishwa limbwata!
Mkuu nipe hiyo kazi ya kumtandika baba mzazi yako makonde kwa malipo kidogo. Nina imani lazima ata-RIP.
 
Tanganyika ndo waliunda huu muungano na ndio watakao uvunja. but kama zanzibar wakiamua kuuvunja mapema itakuwa vizuri zaidi.

wewe mtu wangu ni kichwa sana...una majibu ya hekima nimegundua hilo... back to topic..serikali ya ccm haipo tayari kuugusa muungano na dawa yake hawa jamaa watajijua wenyewe ,..refer matokeo ya ubunge huko zanzibar mwaka huu ambapo cm walishinda kwa kura nyingi sana na chadema wakafuatia ...sasa hapa inaleta picha kuwa jamaa zetu wanapingana na kivuli chao bila kujijua..
 
muungano upo kwa faida ya nani na nani anapata hasara?

Muungano upo kwa faida ya ccm wanaopata faida ni wao viongozi wa ccm pande zote bara na visiwani..solution ni kukikataa chama cha mapinduzi na kukizika bila hivyo kina Kibunango wataendelea kula bata huku wakitucheka
 
Last edited by a moderator:
Kuna msemo unasema kwamba " Huwezi kujua umuhimu wa kitu mpaka utakapokikosa". Hawa wanaotaka muungano uvunjike hawajui umuhimu wake siku utakapovunjika ndipo watakapojuta. Wanadai IOC. IOC inatoa misaada na mikopo hivi wanataka misaada wasaidiwe mpaka lini? kwa uvivu walionao wataweza kweli kulipa mikopo hiyo? Kama ni kubebwa hiyo IOC itawabeba mpaka lini?

Muungano ukivunjika, kitafuatiwa Unguja na Pemba kutengana, nani asiyejua jinsi Waunguja wanavyowachukia wajasiriamali Wapemba. Unguja na Pemba ikitengana, kwa jinsi ninavyowafahamu Wapemba walivyo na akili (wengi wasomi) wao watarudi kujiunga na Tanganyika. Waunguja watabaki kwenye mataa. Kwani wanaishi kwa kutegemea uchumi wa karafuu toka Pemba. Mafuta yamegunduliwa maeneo ya Pemba na hawa Waunguja watakapokuwa taifa lao la Kiislam, biashara ya utalii kushnei. Nashauri muungano uvunjike waone cha moto.
 
Huo muungano ulikuwa wa nyerere na karume, hawakumhusisha mtu yeyote kwa hiyo bora waupotezee tu kwani hauna faida kwa yeyote wenyewe hawapo mnaung'angania kwa ajili ya nani sasa?
 
Back
Top Bottom