Muamini Mungu kila jambo anaweza(story)

Muamini Mungu kila jambo anaweza(story)

Sasa uanze kuhonga ee baba..umsahau mama ako na nduguzo ukeshe unaonga tu....nidhamu mkiwa na shida mkimaliza shida mnasahau.......isiwe ivyo
 
Sisi Wanatheolojia tuliobobea huwa tunafikia mahala tunawashauri watu wenye mtazamo kama wako kuwa "Wee amini tu kuwa Mungu yupo ili hata Asipokuwepo hutapata hasara kubwa, kuliko kuamini kuwa hayupo halafu mwisho wa siku ukakutana naye uso kwa uso".

Wengine hatupendi kuamini tu ili mradi tumeamini.
 
Nyani Ngabu Je Umeomba kwa Mungu ili azuie hivyo vyote??
Mungu anahitaji umwambie na ndio maana anasema "Haya, leteni maneno yenu, asema Bwana; toeni hoja zenu zenye nguvu" Isaya 41:21
 
Last edited by a moderator:
Mimi binafsi Mungu amenipigania kwa namna ya tofauti sana na amenitoa mbali mno, lazima nimshukuru kama si Yeye leo hii nisingekuwa hapa natype kwenye hii keyboard, yawezekana ningekuwa mbolea kwenye udongo siku nyingi sana
 
Nyani Ngabu Je Umeomba kwa Mungu ili azuie hivyo vyote??
Mungu anahitaji umwambie na ndio maana anasema "Haya, leteni maneno yenu, asema Bwana; toeni hoja zenu zenye nguvu" Isaya 41:21

Yaani hadi aombwe kuzuia? Mungu huyo asiye proactive?
 
Nyani Ngabu Unatakiwa kuomba, kumkumbusha baadhi ya ahadi zake. Naye atakujibu sawasawa na haja ya moyo wako!!!
 
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu Unatakiwa kuomba, kumkumbusha baadhi ya ahadi zake. Naye atakujibu sawasawa na haja ya moyo wako!!!

Yaani mimi binafsi nikimwomba ndo atazuia majanga na maafa? Na mungu gani huyo asiyekumbuka majukumu yake? Kalewa ulanzi?
 
Sasa uanze kuhonga ee baba..umsahau mama ako na nduguzo ukeshe unaonga tu....nidhamu mkiwa na shida mkimaliza shida mnasahau.......isiwe ivyo

Ngoja aanze kazi sijui kama atajifungia tena chumbani kusali!!!
Sa nyingine nikikumbuka wakati nlivykuwa namlilia Mungu anitoe shimoni wakati sina inshu nikijiangalia na haya nnayoyafanya sasa huwa naogopa hata kufumba macho kusali aisee...MUNGU atusamehe bure na udhaifu wetu
 
Hakuna uthibitisho kwamba mungu yupo.

Sitaki kuamini, nataka kujua.
 
Mimi binafsi Mungu amenipigania kwa namna ya tofauti sana na amenitoa mbali mno, lazima nimshukuru kama si Yeye leo hii nisingekuwa hapa natype kwenye hii keyboard, yawezekana ningekuwa mbolea kwenye udongo siku nyingi sana
Sasa hayo ni mawazo mufilisi, kwahiyo wewe unataka kusema waliotangulia kwenye udongo wote ni kwa sababu Mungu kawaacha/kawatema? Hivi hujui kuwa Mungu Anaweza akaruhusu ulale mavumbini leo just because anakuepusha na mabaya ya kesho? Yaani kweli wewe unafurahia kuwa hai katika dunia hii? Hivi hujui kuwa sometimes kuwa hai ni kama uko jehanamu zaidi kuliko kuwa mfu? THINK BIG wewe!
 
Yaani mimi binafsi nikimwomba ndo atazuia majanga na maafa? Na mungu gani huyo asiyekumbuka majuku yake? Kalewa ulanzi?
Najua ya kuwa wewe ni mbishi ila endelea kuamini uaminicho
Ila ukiwa na unamwamini Mungu waweza kafanya mambo makubwa sana popote utakapokuwepo. Samahani Nyani Ngabu mimi siwezi kubishana hiyo ndiyo hulka yangu. UKITAKA CHUKUA UKITAKA ACHANA NAYO,fanya lile linalokupa amani rohoni mwako!
[h=3]"Mkiwa na imani kiasi cha punje ya haradali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa uende kule; nao utaondoka; wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu" Mathayo 17:20[/h]
 
Last edited by a moderator:
Sasa hayo ni mawazo mufilisi, kwahiyo wewe unataka kusema waliotangulia kwenye udongo wote ni kwa sababu Mungu kawaacha/kawatema? Hivi hujui kuwa Mungu Anaweza akaruhusu ulale mavumbini leo just because anakuepusha na mabaya ya kesho? Yaani kweli wewe unafurahia kuwa hai katika dunia hii? Hivi hujui kuwa sometimes kuwa hai ni kama uko jehanamu zaidi kuliko kuwa mfu? THINK BIG wewe!
Asante SJUMAA26 simuachi huyu Mungu wangu!
Kama ni mawazo mufilisi naomba niendelee na hayo mawazo yangu na nitaendelea nayo milele yote!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja aanze kazi sijui kama atajifungia tena chumbani kusali!!!
Sa nyingine nikikumbuka wakati nlivykuwa namlilia Mungu anitoe shimoni wakati sina inshu nikijiangalia na haya nnayoyafanya sasa huwa naogopa hata kufumba macho kusali aisee...MUNGU atusamehe bure na udhaifu wetu

Mim nahisigi sala na goti nililosugua ndo linanifikisha adi apa...ni aibu ata kumsogelea Mungu....sijui mwisho itakuaje
 
Najua ya kuwa wewe ni mbishi ila endelea kuamini uaminicho
Ila ukiwa na unamwamini Mungu waweza kafanya mambo makubwa sana popote utakapokuwepo. Samahani Nyani Ngabu mimi siwezi kubishana hiyo ndiyo hulka yangu.

Wewe si unamwamini mungu? Makubwa sana uliyoweza kuyafanya mpaka hivi sasa ni yepi?
 
Mungu ni mwema kila wakati siku yako ikifika basi atafungua milango ya baraka yote

Just for love
 
Wewe nyani ngabu,utageuka kuwa nyani kabisa endapo hutamuomba msamaha MUNGU WETU,usomapo thread hii piga magoti uombe huruma ya MUNGU,huwezi kusema eti kazi za MUNGU ni uongo,eti kwa nini hazuii majanga,MUNGU si mwanadamu kama unavyodhani,hawazi kama tunavyowaza sisi,yote yanatokea hapa duniani ni mpango wake,na hata baada ya MUNGU kuilaani dunia,ndo pakawepo na mauti,shida na balaa zote,Biblia inasema,NA MWANADAMU ALIYEZALIWA NA MWANAMKE,SIKU ZAKE ZA KUISHI NI CHACHE,NAYE HUJAA TABU TUPU,Ayubu 14:1 haraka muombe MUNGU msamaha,au laah utajuta,fanya dhihaka zako hata kwa rais wa nchi,lakini si kwa MUNGU,MUNGU anatisha sana,ukipuuza ushauri wangu wanaosoma thread hii na wanakujua watasimulia.
 
Back
Top Bottom