Asante tumekusikia.
Naomba mdogo wangu beibe nasty asikose.
Kutaniko jema.
Sie wa Dar-Wing bado twasuasua.
COPY: KakaKiiza, Paloma, Mtambuzi, Raiza, Mentor, Kipaji Halisi, Shem watu8, figganigga etc
ahsante mkuu.
Ahsante sana,
Ntakuja kama mgeni "maalum"
Copy: charminglady ; Kwa ajili ya huduma ya malazi na huduma zingine za "kimwili" na kiroho.
Hapana mimi mvuvi bhana, ntakuwa narusha ndoana katika moja ya visiwa vya ziwa Nyanza!.Mkuu nahisi wewe ni Mwenyekiti wa Wafanyakazi hapo Nyamagana
Hapana mimi mvuvi bhana, ntakuwa narusha ndoana katika moja ya visiwa vya ziwa Nyanza!.