MTWARA: Wanafunzi 9 wakamatwa kwa kuhamasisha maandamano kupitia WhatsApp na Telegram

Wamehamasishaje yani....mbona wanatoa taarifa kwa kujibana bana......angenukuu na maneno walioyazungumza ili wananchi tuyachambue tujue uhalisia wa makosa yao........Mana mwingine akawa anakoromewa kabisa na askari kisa kaandika tatoo ya "i love u"

Mweeeehh!!!!
 
Back
Top Bottom